Pope Francisco aomba kujiunga na BRICS + kama observer

Mbona mnapata shida hivi...... Mambo ndo kwanza yanaanza... Mtakufa kwa presha
 
Li mchambuzei
 
Naomba nichangie hoja Yako hii kwa kutofautiana nana wewe bila chuki.
Umeandika mambo meeeengi lakini naona hata wewe hujaelewa malengo ya Brics.
Hujaelewa kwa sababu umekalili mambo.

Hivi kwani ni lazima Kila umoja ukiundwa lazima ufanane na WA EU na G7?

Nini sababu ya kuunda umoja mbdala?
Kwani EU na G7 ndio kipimo Cha ustaarabu duniani?

Nani aliewapa EU na G7 mamalaka ya kua kipimo Cha kuunda umoja,au mamalaka hayo.

Kwani watu wakiunda umoja mpya wenye malengo tofauti kabisa na umoja miingine iliyotangulia hapa duniani watapoteza uhalali?

Mfano mdogo TU west wanajinasibu wao kua ndio baba wa demokrasia na nyinyi mnawaunga mkono kwa hilo,na demokrasia ni uhuru wa kutofautiana mawazo na kua na mawazo tofauti au mbadala.ndio maana utakuta huko ulaya na USA Kuna vyama tofautitofauti vya kisiasa,mfano USA kua republican na democratic hivi havifanani kwa sera,Sasa kwa Nini kusiwe na chama kimoja TU?

Sasa kwa Nini msiione Brics kama imekuja na malengo ofauti na mapya kimuundo?ambayo ni tofauti kabisa na umoja zingine, na hivyo kuonekana kua ndio mfano Bora kabisa wa demokrasia?

Kwa mfano Kuna ccm, kwa Nini Sasa iwepo chadema au nccr?
Kwani chadema lazima ije na sera zote za ccm? Je Kuna haja Gani ya kua na chedam? kwa Nini tusiwe na ccm peke yake?

UK Kuna labour na conservative hivi vina sera tofauti, kwa Nini kusiwe na chama kimoja TU?

Hivi ndivyo ilivyovkwq G7,EU na hata G20 halikadharika OPEC,sadec na ECOWAS Kila kimoja kina sera zake ma malengo yake.

Sasa kwa Nini mnataka Brics icopy na kupest kwa EU na G7?

Inakua wapi Sasa maana ya vyama vingi?
Tufanye mfano Brics ni chama katika levo ya kidunia.
Nchi yoyote itaamua kujiunga upande inaotaka.

Brics kuchukua wanachama masikini kama Ethiopia Ina malengo yake tofauti na EU nao Wana malengo Yao,EU sio kipimo Cha kuanzisha umoja.brics Ina sababu zake na EU Wana sababu zao kuhusu wanachama.

Kama Brics itafeli sio ajabu maana maisha ni kujaribu TU.
Je walitakiwa wasianzishe Brics kwa hofu ya kuja kufeli?
Hizo ni akili,ni uwoga.
Mimi nafikiri tuipe Brics muda,kwani muda utajibu.
 
Sawa, tujipe muda. Ikishinda vizuri, ikishindwa, EU + G7 watakua wababe wa dunia(ununui wala uuzi).
 
Nasikitika kukujulisha kuwa vipimo vinaonesha wewe ni empty set yaani huna akili hata ya kuvukia barabara.
Akili ninazo ni mawazo yako tu yamegota.

Fikiri kwanini Vatican ataka awe observer ndani ya BRICS?

Kwani amewahi kuwa observer kwenye umoja wa Ulaya?

Unafahamu maana ya kuwa observer?

Na kwanini iwe sasa Vatican kuomba kuwa observer imepita miaka mingapi tangu BRICS iundwe?
 
Hayo mawazo yako kwahiyo india amewakilisha dini yake na mchina kaleta ubudha ndani ya brics,mbona upo mjinga kiasi hichi.
Usikimbilie kutukana jaribu kutafakari kwanini iwe sasa Vatican kuomba awe observer kwenye BRICS na hajafanya hivyo tangu umoja hupo uanzishwe.

Iran bado ana uhasama na West khasa kwenye silaha na pia Iran na Saudi Arabia wapo kwenye umoja wa nchi zinozalisha mafuta OPEC.

Hivyo ni lazima kutakuwa na vikao ambavyo ni siri.

Juzi katika mkutano wa Afrika Kusini kuna kipindi waandishi wa habari wote waliambiwa na raisi Ramaphosa watoke nje ya ukumbi wakati mkutano ukindelea, hiyo ilikuwa ishara kwamba kulikuwa na masuala nyeti ya kuyaongelea ambayo hayakuhitakji kusikika na yoyote yule.

Hivyo ukijadili masuala haya khasa kuhusu Vatican ni lazima uwe na kiwango fulani cha kufikiri kwa makini.
 
Isitoshe BRICS itatoa fursa na ahueni kwa nchi kama Argentina ambayo hadi sasa ina matatizo ya kiuchumi na raisi wa Alberto Fernandez amesema nchi yake itapata nafuu kubwa na kuwa katika eneo jipya yaani "new scenario".

Iran pia itapata nafuu kiuchumi ingawa itaonekana kwamba Iran yajaribu kukwepa vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa na Marekani na EU. Hivyo wakifanya biashara na China na Russia watakuwa katika nafasi nzuri ya kujiinua kiuchumi.

Nchi masikini kama Ethiopia ambayo imekubaliwa kama Iran Saudi Arabia na zingine tatu itapata nafasi nzuri ya kujiinua kiuchumi pia na kupata mawazo mapya ya namna ya kuboresha uchumi wake kutoka kwa nchi kama Russia na China.

BRICS imeikatalia Indonesia kujiunga kwa sababu Indonesia ina watu wengi milioni 274 na yenye nguvu kubwa kwa bara la Asia.

Kuna watu hapa watoa mapovu mengi na kushambulia wengine lakini hawana mawazo chanya ya kuangalia kwa makini masual akama haya.
 
kwamba Urusi ni wapumbav kias cha ww kujua ila wao wasijue , ndio maana tunasaini mikataba ya hovyo mambo mengi tunayachukulia inje inje sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww utakuws mwislam , nyiny watu inferiority imewajaa
 
Kweli kabisa Mkuu.
Watu hua wanapenda kufananisha Kila kitu.
mahitajio ya USA sio mahitajio ya china,mahitajio ya Urusi sio mahitajio ya USA.
Kila mtu ana mahitajio yake na vipaumbele vyake.
kwa hiyo sio walichoanzisha west nao east wakopi.
kama wakikopi basi hicho walichokopi nao ndio wanakihitaji.
 
Kuna gazeti linaloheshimika sana duniani (tazama chanzo chini hapo) liliripoti kuwa kati ya maaskofu na mapadri 5 wa Vatikano 4 ni mashoga, yaani 80% ni mashoga. Jisomee:

Tafsiri kwa msaada wa Google:

Vatican

Makasisi wanne kati ya watano wa Vatikani ni mashoga, madai ya vitabu​

Kitabu cha mwandishi wa habari wa Ufaransa, hii ni 'simulizi ya kushangaza ya ufisadi na unafiki', mchapishaji anasema
Harriet Sherwood Dini mwandish wa kitabu kitakachochapishwa wiki ijayo.
Asilimia 80 ya makasisi wanaofanya kazi katika Vatikani ni mashoga, inadaiwa katika kitabu, In the Closet of the Vatican.

Chanzo: Four in five Vatican priests are gay, book claims | Vatican | The Guardian

Mimi naona mambo hayo wasiyakaribishe kuyahalalisha Brics. Kwa kumkubalia papa kujiunga ni kuhalalisha kuusambaza ushoga Brics hata kwa nchi zisizoutaka.

No wasikubali, abaki NATO.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…