SankaraBoukaka JF-Expert Member Joined Jul 2, 2019 Posts 3,490 Reaction score 5,518 Jun 7, 2026 #61 Hao wote walio united ni watu wenye "MENTAL ISSUES"... ndo maana wanaelewana ili kujipa matumaini "FAKE" ambayo hayapo...
Hao wote walio united ni watu wenye "MENTAL ISSUES"... ndo maana wanaelewana ili kujipa matumaini "FAKE" ambayo hayapo...
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,030 Reaction score 51,499 Jun 7, 2026 Thread starter #62 Seran said: Bwana wee sikia! Kama kuna namna nyingine ya kufix hayo majanga makubwa unaijua we lete watu wajikwamue na sio kucritize instistution zinazowaletea masikini matumaini! Click to expand... Mdada anakuja kwenye maisha yako anakuja na misemo kama “Kwanini huendi kanisani, nataka Jumapili uwe unaenda kanisani” na anakasirika kabisa 😂😂😂
Seran said: Bwana wee sikia! Kama kuna namna nyingine ya kufix hayo majanga makubwa unaijua we lete watu wajikwamue na sio kucritize instistution zinazowaletea masikini matumaini! Click to expand... Mdada anakuja kwenye maisha yako anakuja na misemo kama “Kwanini huendi kanisani, nataka Jumapili uwe unaenda kanisani” na anakasirika kabisa 😂😂😂
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,030 Reaction score 51,499 Jun 7, 2026 Thread starter #63 SankaraBoukaka said: Hao wote walio united ni watu wenye "MENTAL ISSUES"... ndo maana wanaelewana ili kujipa matumaini "FAKE" ambayo hayapo... Click to expand... Tupambane kwa nguvu zote kuukataa umaskini, umaskini unatesa, umaskini una dhalilisha, umaskini unafadhaisha. Umaskini uogopwe.
SankaraBoukaka said: Hao wote walio united ni watu wenye "MENTAL ISSUES"... ndo maana wanaelewana ili kujipa matumaini "FAKE" ambayo hayapo... Click to expand... Tupambane kwa nguvu zote kuukataa umaskini, umaskini unatesa, umaskini una dhalilisha, umaskini unafadhaisha. Umaskini uogopwe.
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 34,827 Reaction score 99,928 Jun 7, 2026 #64 MKANGAFFU said: Mdada anakuja kwenye maisha yako anakuja na misemo kama “Kwanini huendi kanisani, nataka Jumapili uwe unaenda kanisani” na anakasirika kabisa 😂😂😂 Click to expand... Hata mimi ndio zangu hizo!
MKANGAFFU said: Mdada anakuja kwenye maisha yako anakuja na misemo kama “Kwanini huendi kanisani, nataka Jumapili uwe unaenda kanisani” na anakasirika kabisa 😂😂😂 Click to expand... Hata mimi ndio zangu hizo!
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 34,827 Reaction score 99,928 Jun 7, 2026 #65 Dr. Mariposa said: Ndio maana nimempa kabisa maelekezo, mbegu ataweka kwenye kikontena, asije akafakamia makaranga na michuzi ya pweza akaumbuka🤣🤣 Click to expand... Ndio atajipiga blow job mpaka kieleweke🤣
Dr. Mariposa said: Ndio maana nimempa kabisa maelekezo, mbegu ataweka kwenye kikontena, asije akafakamia makaranga na michuzi ya pweza akaumbuka🤣🤣 Click to expand... Ndio atajipiga blow job mpaka kieleweke🤣
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,030 Reaction score 51,499 Jun 7, 2026 Thread starter #66 Seran said: Hata mimi ndio zangu hizo! Click to expand... Me mtu akinambia anaishi Dar halafu analipa Kodi 40k najua kabisa huyu huko mjini ana maisha magumu sana.😂😂😂😂
Seran said: Hata mimi ndio zangu hizo! Click to expand... Me mtu akinambia anaishi Dar halafu analipa Kodi 40k najua kabisa huyu huko mjini ana maisha magumu sana.😂😂😂😂
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 121,928 Reaction score 200,630 Jun 8, 2026 #67 Dr. Mariposa said: "LGBTQ+ are united," yes yes and we are in a Pride month beybeeeeeee🏳️🌈🥳🥳🥳🥳 Dear cocastic happy pride month🌈🌈 Click to expand... Yesa happy 🏳️🌈 month too dearest. Hii weekend nimeitendea hakii kabisaaa. 🔥🔥🔥
Dr. Mariposa said: "LGBTQ+ are united," yes yes and we are in a Pride month beybeeeeeee🏳️🌈🥳🥳🥳🥳 Dear cocastic happy pride month🌈🌈 Click to expand... Yesa happy 🏳️🌈 month too dearest. Hii weekend nimeitendea hakii kabisaaa. 🔥🔥🔥
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 121,928 Reaction score 200,630 Jun 8, 2026 #68 Yoda said: Watu masikini wameungana tayari kuabudu mungu (dini), kupinga ushoga na kushabikia mpira. Click to expand... 😂😂😂
Yoda said: Watu masikini wameungana tayari kuabudu mungu (dini), kupinga ushoga na kushabikia mpira. Click to expand... 😂😂😂