Sijasoma hio trillion dollars ikabidi nirudi juu kuhakikisha kwanza upya nikakutana na hayo maelezo yamenyookaWaungane kufanya nini? Hiyo trillion dollar ni dini gani imesema kuwa inatusubiri huko mbinguni?
Muite na Confession basi na yule Bichwa Komwe msherehekee wote pamoja"LGBTQ+ are united," yes yes and we are in a Pride month beybeeeeeee🏳️🌈🥳🥳🥳🥳
Dear cocastic happy pride month🌈🌈
na kusimanga single mazaWatu masikini wameungana tayari kuabudu mungu (dini), kupinga ushoga na kushabikia mpira.
Hata wewe rukhsa kuwaita, myMuite na Confession basi na yule Bichwa Komwe msherehekee wote pamoja
the last paragraph..Sijasoma hio trillion dollars ikabidi nirudi juu kuhakikisha kwanza upya nikakutana na hayo maelezo yamenyooka
Uzi ushakuwa sio wa masikini tena!Muite na Confession basi na yule Bichwa Komwe msherehekee wote pamoja
Hahaha hivi wewe unae mmoja tu unajiita single mother wenzio wanao wa kutosha kila mtoto ana Baba yake huyu ndio single motherna kusimanga single maza
Nimeona hapo mwisho kabisa hapo ungefunga zipu kidoogo hapo hapo eeh hapothe last paragraph..
Duhh anatafuta kuwa champion au?Hahaha hivi wewe unae mmoja tu unajiita single mother wenzio wanao wa kutosha kila mtoto ana Baba yake huyu ndio single mother
Thombina!Nimeona hapo mwisho kabisa hapo ungefunga zipu kidoogo hapo hapo eeh hapo
Bado sijawa single mama, mtoto wetu ana mama wawili basi ni mumy mumyyy hua tunajiuliza anajua mama ake wa kumzaa ni yupi? ila ana enjoy ndio kikubwaHahaha hivi wewe unae mmoja tu unajiita single mother wenzio wanao wa kutosha kila mtoto ana Baba yake huyu ndio single mother
Bwana wee sikia! Kama kuna namna nyingine ya kufix hayo majanga makubwa unaijua we lete watu wajikwamue na sio kucritize instistution zinazowaletea masikini matumaini!Nothing keeps a system running smoothly like convincing people that their reward is in the next life. Why fix poverty, corruption, or exploitation when paradise is just one funeral away?
Namjua mmoja ana watoto watano kila mmoja na baba ake anasema aliamua kuchanganya damu makusudi apate mbegu nzuri😂Duhh anatafuta kuwa champion au?
Its a crazy joke to think you exist on the most iconically shaped continent on earth, filled with every resource known to man, perfect weather & arable land that can grow anything but you're not meant to enjoy all that, you're meant to suffer here & go get your riches in heaven.Waungane kufanya nini? Hiyo trillion dollar ni dini gani imesema kuwa inatusubiri huko mbinguni?