Poor Intelligence system inavyotesa Marais

Huwa kuna swali najiukiza kwa Marais anaepuka vipi kuwekwwa sumu kwenye vinywaji.
 
Nyerere hakuwahi pinduliwa. Tofautisha jaribio la mapinduzi na mapinduzi yenyewe.
Au utwambie alipinduliwa na nani na nani akawa Rais kwenye hizo mara tatu.
Hivi umekaa Darasani kweli wewe?
Nyerere alipinduliwa akaikimbia Ikulu na kwenda kujificha kigamboni kwenye nyumba ya mzee mmoja muuza kahawa hadi jeshi la Uingereza likatuma kikosi cha makomandoo kilichokuja hadi Dar es salaam na kumrudisha Nyerere madarakani,waasi hawakuwa wametangaza kiongozi wao.
Usiropoke usiyoyajua,Tulia ufundishwe
 
Mkuu acha kupaniki, mapinduzi siyo lazima Rais atangazwe , kuikimbia Ikulu kwa sababu ya kuogopa kuuawa hayo ni mapinduzi tosha,hebu jichukulie mfano wewe hapo,jamaa limekuja nyumbani kwako kukuua ili limiki mkeo na kisha ukaikimbia nyumba yako kujificha usiuawe hadi ukapata msaada ndo ukarudi kwako.
Sasa wakati ukiwa umekimbia jamaa linashindwa nini kumpiga mashine mkeo?
Kwa hiyo waasi wale walingia Ikulu huku Nyerere akiwa mafichoni hayo ni mapinduzi
 
Tunazungumzia mapinduzi unaleta habari za uzinzi. Kuna maswali matatu hapo uliponukuu, unaweza jibu hata moja?
 
Akili zako hazijui kutofautisha kati ya Mutiny na Coup. Unachokisema ni mutiny, ambazo ni fujo za wanajeshi ila sio mapinduzi. ID nzima na akili zake inashindwa tofautisha jambo la kitoto hivi
 
Jeshi wakiamua Intelligence yako inasaidia nini? Unaweza kumuua mkuu wa majeshi? Umewahi kusikia mahali mkuu wa majeshi ameuawa?
 
Mambo yote yalifanyika enzi za GIZA, wewe utayajulia wapi kijana? Ulitaka iandikwe kwenye gazeti la Mfanyakazi au Mzalendo, sivyo?
 
Mambo yote yalifanyika enzi za GIZA, wewe utayajulia wapi kijana? Ulitaka iandikwe kwenye gazeti la Mfanyakazi au Mzalendo, sivyo?
Kuna maswali matatu hapo na huna jibu hata moja. Gazeti la Mfanyakazi au Mzalendo lingeshindwa vipi kuandika, ushawahi ona wapi mapinduzi yanafichwa kwenye vyombo vya habari.

Mapinduzi yakitokea vyombo vinavyohusika kujulisha watu ni vya habari yani wanaweza wasishike bunge wala mahakama wakaanza na media. Unaona unavyotia aibu
 
Mkuu ishu siyo ballot box,ishu ni katiba mbovu inayowa favor ma CCM kutawala hata Kama wameshindwa .
Tunaomba sana Mungu,tena sana yaliyotokea Guinea na kwingineko yatokee na Tanzania.
CCM ni kenge,
Ni swala la muda kwasasa nchi na uchumi vipo "autopilot mode". Huwezi nambia hili taifa lina serikali ya raia inayowajali na kuwalinda. This is pure nonsense.
 
Jidanganye, Nyerere alipinduliwa mara mbili. Mara ya tatu ilikua waondoke na kichwa chake, akawahi kujiuzulu ili aondoke kwa heshima. Achana na MAHABA YA CCM kijana.
Yale hayakuwa mapinduzi bali ni fitina na fujo za chini chini. Hizo hata sasa zinatokea. Hivi unayajua mapinduzi in the actual sense?!
 
Yale hayakuwa mapinduzi bali ni fitina na fujo za chini chini. Hizo hata sasa zinatokea. Hivi unayajua mapinduzi in the actual sense?!
Jeshi linapoingilia mamlaka ya nchi, kitaalam inaitwaje huko Lumumba? MATAGA bana, hovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…