Sawa, yametusaidiaje hayo yoooteee kutuondoa kwenye huu umasikini uliotopea, wizi wa mali za umma (Richmond, mgao wa mabilioni ya mkombozi Bank, kuuziwa vivuko vibovu),rushwa, ufisadi mkubwa, ugaidi (issue ya Hamza, kumshambuliwa ubalozi wa Marekani nk)...sisi hapa kuna TISI halafu kuna sistimu.
yaani unapoona bwana asumani anatoka PITI anakwenda kuwa head TISI,sio bahati mbaya.
hapa sistimu ama coordination inaonyesha ni jinsi gani inafanya kazi kwa mfumo complex sana.
leo hii kaa na makomando wako mpange namna gani mtavamia magogoni mkambebe mkuu,utashangaa kati yao makomandoo 12 ulikusanya 4 wameshatoa ripoti,mnapokelewa na kuhifandhiwa safe house pamoja nao hata msijue mlikosea wapi.
nyerere alijua mengi ambayo binaadamu wengi na viongozi wenzie africa hawakujua.
Ni juhudi zako Tuu ndo zinaweza kukuondoa Kwenye hayo. Ukipamba a ukawa na hela wata hutawaza kina Hamza. Serikali haijawahi kumuondoa mtu bata Nchi zilizo endelea Kama China na Marekani bado maisha ni magumu na kuna shida kibaoo.Sawa, yametusaidiaje hayo yoooteee kutuondoa kwenye huu umasikini uliotopea, wizi wa mali za umma (Richmond, mgao wa mabilioni ya mkombozi Bank, kuuziwa vivuko vibovu),rushwa, ufisadi mkubwa, ugaidi (issue ya Hamza, kumshambuliwa ubalozi wa Marekani nk)...
Ni juhudi zako Tuu ndo zinaweza kukuondoa Kwenye hayo. Ukipamba a ukawa na hela wata hutawaza kina Hamza. Serikali haijawahi kumuondoa mtu kwenye shida zake. Hata Nchi zilizo endelea Kama China na Marekani bado maisha ni magumu na kuna shida kibaoo.
NB.
Usitegemee Serikali kukuondolea masumbuko yako. Pambana Mwenyewe tumia fursa zilizo inshallah utatoboa
System yetu imejaa wachumia tumbo tu ndio maana waketa uzi wamesema unashindwa kumshauri chief Hangaya kuwa hapendwi.Lakini hao sistimu uliowataja na kuwatukuza wanashindwa kutupa viongozi bora watakaoipeleka nchi mbele. Badala yake wamejaa mafisadi tu.
Tanzania ina system ya kuilinda CCM tu na si vinginevyoLakini hao sistimu uliowataja na kuwatukuza wanashindwa kutupa viongozi bora watakaoipeleka nchi mbele. Badala yake wamejaa mafisadi tu.
Mkuu ishu siyo ballot box,ishu ni katiba mbovu inayowa favor ma CCM kutawala hata Kama wameshindwa .Kazi ya sistimu sio kuleta viongozi Bora(imara) ila Ni kulinda Viongozi
Ndio waachwe wamalize Muda wao watoke kidemokrasia Kama walivyo ingia. Sasa Kama hawana Tija kwa Taifa ndo unataka wafanywe Kama Alfa Konde au Yulee Rais wa Sudan Kaskazini..?? Lazima tujifunze hata kwa makosa. Tukikosea kuchagua acha tunyooshwe ili Next time tutulize akili Kwenye Ballots paper[emoji16][emoji16]
Jidanganye, Nyerere alipinduliwa mara mbili. Mara ya tatu ilikua waondoke na kichwa chake, akawahi kujiuzulu ili aondoke kwa heshima. Achana na MAHABA YA CCM kijana.sisi hapa kuna TISI halafu kuna sistimu.
yaani unapoona bwana asumani anatoka PITI anakwenda kuwa head TISI,sio bahati mbaya.
hapa sistimu ama coordination inaonyesha ni jinsi gani inafanya kazi kwa mfumo complex sana.
leo hii kaa na makomando wako mpange namna gani mtavamia magogoni mkambebe mkuu,utashangaa kati yao makomandoo 12 ulikusanya 4 wameshatoa ripoti,mnapokelewa na kuhifandhiwa safe house pamoja nao hata msijue mlikosea wapi.
nyerere alijua mengi ambayo binaadamu wengi na viongozi wenzie africa hawakujua.
Nyerere hakuwahi pinduliwa. Tofautisha jaribio la mapinduzi na mapinduzi yenyewe.Jidanganye, Nyerere alipinduliwa mara mbili. Mara ya tatu ilikua waondoke na kichwa chake, akawahi kujiuzulu ili aondoke kwa heshima. Achana na MAHABA YA CCM kijana.
Unaelewa maana ya kupinduliwa wewe phimbi? Kitendo cha Rais kukimbia Ikulu mnakiitaje kwa lugha ya KIUJANJA UJANJA huko Lumumba?Nyerere hakuwahi pinduliwa. Tofautisha jaribio la mapinduzi na mapinduzi yenyewe.
Au utwambie alipinduliwa na nani na nani akawa Rais kwenye hizo mara tatu.
Unaona ulivyo konokono. Rais alikimbia ikulu alafu Rais aliyeingia akawa nani?Unaelewa maana ya kupinduliwa wewe phimbi? Kitendo cha Rais kukimbia Ikulu mnakiitaje kwa lugha ya KIUJANJA UJANJA huko Lumumba?
Jidanganye, Nyerere alipinduliwa mara mbili. Mara ya tatu ilikua waondoke na kichwa chake, akawahi kujiuzulu ili aondoke kwa heshima. Achana na MAHABA YA CCM kijana.
🤣🤣🤣🤣🤣 Eti ni Kenge. Ila jamni daaah. Ila labda kweli ni kenge majiMkuu ishu siyo ballot box,ishu ni katiba mbovu inayowa favor ma CCM kutawala hata Kama wameshindwa .
Tunaomba sana Mungu,tena sana yaliyotokea Guinea na kwingineko yatokee na Tanzania.
CCM ni kenge,
Usidanganye umma na kuongea vitu visivyoeleweka. Kazi ya serikali duniani kote ni kukusanya kodi na kutoa huduma kwa raia zake, kutengeneza mazingira rafiki kwa raia zake kujiajiri, kuwatafutia masoko wakulima, kutengeneza mazingira rafiki kwa sekta binafsi na wafanyabiashara kufanya kazi zao. Haya kama hayafanyiki hata ukipambana ni kazi bure na wengi unaowaita wapambanaji ni wezi au wakwepa kodi. Ni vigumu sana mtu kufanikiwa hapa bongo kama anafanya mambo yake kihalali. Mfumo mzima umeoza.Ni juhudi zako Tuu ndo zinaweza kukuondoa Kwenye hayo. Ukipamba a ukawa na hela wata hutawaza kina Hamza. Serikali haijawahi kumuondoa mtu bata Nchi zilizo endelea Kama China na Marekani bado maisha ni magumu na kuna shida kibaoo.
NB.
Usitegemee Serikali kukuondolea masumbuko yako. Pambana Mwenyewe tumia fursa zilizo inshallah utatoboa
Chaguzi nyingi za nchi za Afrika, wananchi hawakosei kuchagua, isipokuwa hiyo hiyo system unayoitetea ndio inavuruga uchaguzi kwa kuweka viongozi ambao wananchi hawakuwachagua!Kazi ya sistimu sio kuleta viongozi Bora(imara) ila Ni kulinda Viongozi
Ndio waachwe wamalize Muda wao watoke kidemokrasia Kama walivyo ingia. Sasa Kama hawana Tija kwa Taifa ndo unataka wafanywe Kama Alfa Konde au Yulee Rais wa Sudan Kaskazini..?? Lazima tujifunze hata kwa makosa. Tukikosea kuchagua acha tunyooshwe ili Next time tutulize akili Kwenye Ballots paper😁😁
Ni KWELI ila kwa mind set yako hiyo. Sisi vijana hasa wa sasa tuki iishi nao tutakufa Maskini.Usidanganye umma na kuongea vitu visivyoeleweka. Kazi ya serikali duniani kote ni kukusanya kodi na kutoa huduma kwa raia zake, kutengeneza mazingira rafiki kwa raia zake kujiajiri, kuwatafutia masoko wakulima, kutengeneza mazingira rafiki kwa sekta binafsi na wafanyabiashara kufanya kazi zao. Haya kama hayafanyiki hata ukipambana ni kazi bure na wengi unaowaita wapambanaji ni wezi au wakwepa kodi. Ni vigumu sana mtu kufanikiwa hapa bongo kama anafanya mambo yake kihalali. Mfumo mzima umeoza.
Kaka Tatizo tuna mihemko ya kisiasa linapokuja suala la Kufanya maamuzi ya Msingi. Kuna watu ni wanachama Fulani ani wao Hawa angalii Chama kina msimamisha nanii ani hata kama Mbunge ni bubu ila tu ndo amesimamishwa kuwa mgombea Fulani wa Chama X Basi makada wao wako radhi wampigie Campaign na wamchangue huyoo huyooo na ubovubwake wote kwa kuwa tu ni wachama chao.Chaguzi nyingi za nchi za Afrika, wananchi hawakosei kuchagua, isipokuwa hiyo hiyo system unayoitetea ndio inavuruga uchaguzi kwa kuweka viongozi ambao wananchi hawakuwachagua!
Unapowazungumzia waliosoma chini ya mwembe unatuingiza mpaka tusiokuwepo kwenye huo mjadalaUnaona ulivyo konokono. Rais alikimbia ikulu alafu Rais aliyeingia akawa nani?
Definition ya mapinduzi hapo ulipoolewa ni Rais kukimbia ikulu? Nyinyi ndio mlisomea chini ya mwembe alafu ujuaji mwingi kwenye mada zenye akili kuzidi ukoo wako mzima. Unatakiwa kusubiri mada za kilimo cha nyanya ndio uchangie
Maswali matatu;
1. Nyerere alipinduliwa lini na lini?
2. Nyerere alipinduliwa na nani mara zote tatu?
3. Nani akawa Rais baada ya mapinduzi mara zote tatu?
Jinsi ulivyo bwege unasema alipinduliwa mara tatu. Kwa hiyo walikuwa wanampindua kisha anagombea anashinda au ilikuwaje
Ndio naisikia leo hii, dah!Jidanganye, Nyerere alipinduliwa mara mbili. Mara ya tatu ilikua waondoke na kichwa chake, akawahi kujiuzulu ili aondoke kwa heshima. Achana na MAHABA YA CCM kijana.
KalaghabaoTISS ilikua vizuri zamani,ya sasa inauwezo wa kupambana na Chadema