ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,649
- 57,042
Mambo vipi ndugu,
Huyu jamaa wa kuitwa Musa allani napenda kumpongeza kwa ujasiri wake wa kuamua kumpa sapoti raisi wetu mtarajiwa ndugu ENL kupitia umoja mtakatifu UKAWA.
Kipenzi cha watoto mpaka wazee wakina mama na kina baba mzee wa Monduli Musa alani amefungua nafasi kwa wale wanaoendelea kuishabikia chama marehemu aidha kwa ujinga au kwa faida zao binafsi.
UJUMBE: Ndugu wana UKAWA kwa sasa tusipoteze mda kuhamasisha watu wamchague lowasa kwani gharika lake ni hatari kweli kweli na hivo tusihangaike kutafuta watu wapya kwani tulionao tu wanatosha kuichinja CCM.
Tupoteze mda kuhamasisha vijana kwamba tarehe 25 october kila mtu ajitokeze kituoni kwake.
Nisitoke nje ya maada sasa,kifupi hongera sana Musa allan