Pongezi nyingi kwa mawaziri hawa

Lego

Senior Member
Aug 31, 2016
114
115
Nawapongeza sana mawaziri hawa Hon Prof Ndalichako, Hon Nchemba na Hon Simbachawene kila mmoja kwa nafasi yake ameplay part yake on right time we are proud of you, maana kuna viongozi wengine anashudia kabisa mambo ya ajabu yanatokea harafu anasema bado sjapata taarifa rasmi yamaandishi kwa hiyo siwezi kutoa maamuzi.
 
Back
Top Bottom