Mkuu Punguza Ushabiki Chuo KipoHa ha ha Mzumbe hii hii au nyingine?
Wanasiasa wooote wa CCM ni Graduates wa Mzumbe na Thesis za kupika!!
JPM KAMATA WEZI
Hata Mimi nilikimbilia Mzumbe kusoma hakuna shule pale baada ya kuchoka ugumu wa Udsm nikapooza machungu Mzumbe, baadae nitaenda Bagamoyo huko nimeandaa hela ya kuhonga tu nitasoma kidizaini kwa ugumu wa Maisha haya Walimu rushwa wanapokea sanaMkuu Punguza Ushabiki Chuo Kipo
Vizuri Sana.
Nitajie Hao Wanasiasa Na Thesis Zao Za Kupikwa.
Mbona Wapo Watu Makini Kama
Wakili Msomi Peter Kibatala.
Pia Mama Samia Suluhu.
Mkuu Haupo Serious KabisaHata Mimi nilikimbilia Mzumbe kusoma hakuna shule pale baada ya kuchoka ugumu wa Udsm nikapooza machungu Mzumbe, baadae nitaenda Bagamoyo huko nimeandaa hela ya kuhonga tu nitasoma kidizaini kwa ugumu wa Maisha haya Walimu rushwa wanapokea sana
Ni Kweli Mkuu MiundombinuSafi sana. Mzumbe sasa waboreshe miundombinu iwe ya uhakika tu.Lakini ni kweli wanajitahidi sana kutoa elimu bora
Udsm nilisoma bachelor, Mzumbe ile Masters yao MBA nimesoma hapo hakuna kitu MzumbeMkuu Haupo Serious Kabisa
Yaani Umeacha Vyuo Vyote
Pendwa Unakimbilia Bagamoyo?
N..M...nauyeeee, Dr. Eeeee....Nchimbi....nk katafute Thesis zao uone kama zina uhusiano na course zao!Mkuu Punguza Ushabiki Chuo Kipo
Vizuri Sana.
Nitajie Hao Wanasiasa Na Thesis Zao Za Kupikwa.
Mbona Wapo Watu Makini Kama
Wakili Msomi Peter Kibatala.
Pia Mama Samia Suluhu.
Chuo Cha Mzumbe ( Mzumbe University) Ni Cha Pili Kwa Ubora Kikifuatiwa Na Muhimbili.
Nimeona Kwenye Top Ranking Universities
In East Africa 2017
Heko Mzumbe.
Binafsi, Nilikuwa Jirani Wa MU
Yaani Nilisoma Mzumbe Secondary
Ila MU Palikua Sehemu Yetu Ya Kupata Relief.
mbna umesema kikifuatiwa na muhimbili
njoo hata na link ......uonekane wa maanaChuo Cha Mzumbe ( Mzumbe University) Ni Cha Pili Kwa Ubora Kikifuatiwa Na Muhimbili.
Nimeona Kwenye Top Ranking Universities
In East Africa 2017
Heko Mzumbe.
Binafsi, Nilikuwa Jirani Wa MU
Yaani Nilisoma Mzumbe Secondary
Ila MU Palikua Sehemu Yetu Ya Kupata Relief.