Habari za muda huu watanzania wa mama Samia.
Kwanza Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mungu kwa Hali ya Leo kua ya utulivu na amani.
Pili napenda kuwapa pongezi mabondia kwa kuzuia maandamano DSM na kuhakikisha hakuna anae leta uvunjifu wa amani.
Tatu vijana tuwe wazalendo tuepuke kufwata mkumbo na kujiingiza kwenye makundi ya uchochezi yanayoweza sababisha uvunjifu wa amani kwenye Taifa letu
Mwisho Watanzania tunajivunia kua na mabondia wazalendo naninawaomba wasichoke kulipambania Taifa nakumuunga mkono Rais wa JMT🙏🙏
Nawasilisha