Pongezi Kwa WILLIAM MALECELA kwa Kuchaguliwa kuwa Mwakilishi wa Wazazi kata ya Kivukoni

Mkuu mgeni wenu yamekuwa hayo tena? Najua Le baharia atakujibu tu japo naona kama siku hizi ameisusa JF baad ya kuwa watu hawamtendei haki kwa kumshambulia; personal attack badala ya kushambulia hoja zake.

Mkuu Kimbunga Siyo Kuwa Le bahari ajibu amebigwa Ban siku hizi muda mwingi ameungana na Nape kule Kwenye FB.Ila ni nawasiwasi kuwa ana ID nyingine.Lets wait and see
 
hapo sasa..na alikuwa akimtetea makongoro kwamba ni mbunge wake..leo anasema mkazi wa kivukoni..kesho tutackia kawe mara kibaha..kweli huu ni upu..uzi wa ccm...

Huyo sio wa kumwamini hata kidogo,
ni kigeugeu sana tunavyojua yeye hana makazi maalum ni mzururaji tu.
 
jamaa kwenye ubunge wa EAC alikurupuka washauri wakamwambia aanze kwanza ngazi za chini.!
 
Duh jamaa yetu anapigana kila mahala. Leo tena anasema Kivukoni ndiyo kata yake wakati juzi tu hapa alisema yupo kata ya Segerea!

Kumbe kwenye siasa unatakiwa kuwa Abdallah Nyumbanyingi. Kila mahala weka makazi ukisikia kna nafasi ya kisiasa unasema hapo ni kwako unagombea maisha yanasonga mbele. Anyway namtakia kila la kheri katika safari yake ya kisiasa.

Kata ya Kivukoni ndio ilimtoa Kimbisa kama Diwani na kisha kuwa Meya na sasa ni Mbunge wa EALA. Pia hapo ndipo aliyekuwa Mbunge wa EALA Dr. Masaburi alipogombea UDiwani na kushinda kisha akawa Meya. Mzee cheza kete zako vizuri kwenye Dhumuna unaweza kuingia EALA ama kuwa Meya wa Jiji.

PENYE NIA PANA NJIA. Naona wewe una nia, njia itapatikana tu.
Kimbunga, katika siasa ni lazima upime kama unakubalika kiasi gani kabla hujajitosa kuwania uongozi.
Inawezekana kabisa william ameona kwamba segerea hana ufuasi wa kutosha lakini kivukoni anao, kwahiyo si kitu kibaya kujitosa huko kivukoni.
Mimi concern yangu kwa william ni moja tu, ni yeye kuwa na tabia zile zile za wabongo kujirundikia nyadhifa. Muwakilishi wa wazazi, katibu mwenezi, katibu wa elimu na mazingira lakini pia bado anaendelea kujikusanyia nyadhifa nyingine. Nilidhani kwakuwa amepata kuishi nchi za wenzetu ambazo ziko advanced sana kidemokrasia angekuwa tofauti na hawa wengine, kumbe sivyo.
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli kaka unahangaika sana kutaka uongozi,najua unajihisi vibaya kama utakosa uongozi nawakati mzee wako alikuwa mtu mkubwa tu serikalini, ndio maana unatumia kila mbinu ilimradi tu uupate uongozi wa juu. Mungu akulinde lakini kaa ukijua kuwa uongozi wa kusaka kama dhahabu ni sampuli ya uongozi wa kifisadi. Unauhangaikia mno huo uongozi kaka punguza tamaa. Ivi kwani usipokuwa kiongozi itakuwaje?
 
Huyu visenti alivyobebea box kwa 23 NYC bado vinamuwasha ngoja wavimalize viwavi jeshi wa CCM ndio akili itamrudia. Jitu kubwa zima eti leo unagombea ngazi ya kata!!
Puuuuuuuuuuuuuuuuhh!!
 
Segerea + mtera + kivukoni.
Katibu kata kazi unayo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hapo kwenye red hapo mie mbavu sina haha haha haha, JF kiboko!
Duh jamaa yetu anapigana kila mahala. Leo tena anasema Kivukoni ndiyo kata yake wakati juzi tu hapa alisema yupo kata ya Segerea!

Kumbe kwenye siasa unatakiwa kuwa Abdallah Nyumbanyingi. Kila mahala weka makazi ukisikia kna nafasi ya kisiasa unasema hapo ni kwako unagombea maisha yanasonga mbele. Anyway namtakia kila la kheri katika safari yake ya kisiasa.

Kata ya Kivukoni ndio ilimtoa Kimbisa kama Diwani na kisha kuwa Meya na sasa ni Mbunge wa EALA. Pia hapo ndipo aliyekuwa Mbunge wa EALA Dr. Masaburi alipogombea UDiwani na kushinda kisha akawa Meya. Mzee cheza kete zako vizuri kwenye Dhumuna unaweza kuingia EALA ama kuwa Meya wa Jiji.

PENYE NIA PANA NJIA. Naona wewe una nia, njia itapatikana tu.
 

leo nimechaguliwa kuwa mjumbe wa kuwakilisha wazazi wa kata yangu kivukoni, kwenye mkutano mkuu wa mkoa na pia kuwa katibu wa elimu, mazingira, na pia katibu mwenezi wa kata ya kivukoni, ambayo inahusisha hata ikulu na viongozi wengi wakuu waliopo madarakani na waliostaafu, ambao wengi wao walikuwepo leo na wakanipa kura zao;my campaign was great na nawashukuru wote hasa fb people kwa your prayers; in two weeks nitaingia ulingoni tena kugombea upande wa ccm pia: Love yah sana people na kidumu ccm!! - le mutuz!!
jamani labda mimi mvivu kufikiri hivi huyu mtu tumweke kundi gani tu jaman gf,yani mi huwa namwona kero sana jamani yani kama mmbea fulani ,mpenda sifa,mavyeo ,yani sijui.ila mmeona watu wake wanaompa kichwa ni fb so msione akili zake ni za kimbea mbea sana ,maskini huyu kaka jamani hivi anafamilia kweli mbona ni aibu???????????HAPO KWENYE RED ANAJIONA ND HATA IKULU IKO CHINI YAKE,
 
Mwakilishi wa Jumuiya ya WAZAZI wakati Le Mutuz sio "MZAZI" (Means umri na hana watoto).

CCM always leaves me speachless and mouth open! Sitashangaa nikisikia Le Mutuz ni mwakilishi wa UWT kata ya Segerea, with CCM everything is possible.
 
Back
Top Bottom