Pongezi Kwa WILLIAM MALECELA kwa Kuchaguliwa kuwa Mwakilishi wa Wazazi kata ya Kivukoni

Si kunakiupindi niliskia akisema ni mkazi wa segerea, naalijindaa kugombea jimbo iwapo makongoro angeshindwa kesi

Ni kweli alisema makongoro akishindwa atagombea segerea,
baba yake Mzee John Malecela anakaa sea view upanga na mke wa Wiliam Malecela amejenga segerea japo anasema kajenga yeye sio kweli.

anacheza na jimbo la baba na la mkewe???????????????? usanii mtupu. Nani anamjua upanga kama si kubebwa??
 
Huko USA jamaa alikuwa analishwa na mkewe mtoto wa Ngwilulupi kimenuka wametengana ni lazima sasa ahangaike sana, alizoea kulishwa.
 
William naambiwa hapa kuwa ulitelekeza Watoto watoto huko Marekeni na Ukashtakiwa,ndo kisa cha wewe pia kurudi huku,sasa wewe unawakilisha wazazi wenye Tabia zipi?

NI kweli muda mwingi alikuwa ni baba anayelelewa na mkewe kama mtoto, mbangaizaji USA, mke wake anafanya kazi ubalozi wa Tanzania New york ni mtoto wa marehemu balozi Ngwilulupi
 
Safari ya kisiasa huanza kwa kuaminiwa na kuchaguliwa; ndio mwanzo wa safari hiyo... congrats!!!

Mwanakijiji kumshangilia huyu jamaa huna tofauti na wanaoshangilia mafisadi. Unajua jamaa yako si chochote ni mateka hana mbele wala nyuma lakini unatumia urafiki wenu kumpigia debe. Unajishushia heshima.

umewasema sana wanasiasa hapa nyumbani na kuibua makubwa juu yao lakini leo unamuona william ni aina ya watu wanaoweza kutufanya tukasonga mbele
 
Mkuu Ritz unalikumbuka lile container la CCM pale Holiday Out? Siasa za kivukoni zilikuwa pale mkuu ila sasa naona ni parking! Kuna jamaa mmoja mjanja mjanja wa town alikuwa akila pale HO tunamwita Mwenyekiti jamaa fitina za siasa za CCM anazijua mwanzo mwisho. Ndio waliombeba Dr. Masaburi. Akina John Jambele aliyegombea Segerea na Makongoro kwenye kura za maoni naye alikuwa akipikwa maeneo yale. Sijui Le Baharia naye amepikwa pale hasa ile ofisi ya pale garden manake baada ya container kuhama mambo yote yapo garden

Jamaa wa fitna anaitwa REGAN huyu LE MUTUZ ni Mshamba hata Seaview watu hawamjui ndio maana anatafuta umaarufu KUBWA JINGA
 
Kwa ababu
si kweli kwamba wana nafasi na si kweli kwmba wanaweza simama wenyewe katika maisha yao.
Ukweli ni kwamba
ni wababaishaji watu waishio kiujanja ujanja na hila nyingi za ubabaishaji wa hapa na pale.
Ni watu tegemezi na hata pengine ni makupe wakubwa wanyonyao usiku na mchana.

Msukumo mkubwa katika kutafuta nafasi za kisiasa ni matumbo yao ,Njaa zao na kujikweza

Umenielimisha ambayo sikuyafikiria, ama kwa kweli JF ukikosa jibu uliza na utajibiwa. Thanks.
 
Back
Top Bottom