Pongezi kwa wana JF

Maswa

Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
50
Reaction score
3
Pongezi nyingi kwa wana JF, tujitahidi kuweka taarifa sahihi ili kuelimisha uma ya Watanzania na wana JF wote.
 
Sawa mkuu hili ni angalizo la muhimu sana!!
 
Yaani hapa habari zinapatikana kabla ya vyombo vingi vya habari havijatangaza, muhimu ni kuwa makini na ukweli wa habari tunazoweka hapa!
 
Yaani hapa habari zinapatikana kabla ya vyombo vingi vya habari havijatangaza, muhimu ni kuwa makini na ukweli wa habari tunazoweka hapa!

nashukuru sana katavi.. huwa huchoki kutujuza mapemaaaa ...
 
Yaani hapa habari zinapatikana kabla ya vyombo vingi vya habari havijatangaza, muhimu ni kuwa makini na ukweli wa habari tunazoweka hapa!
Nashukuru kwa kulitambua hilo Mh:
 
Hii inaonyesha jinsi gani wanajf tulivyomakini...cha muhimu tuzikabili changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…