Mimi kilichonishangaza ni kipindi cha TCRA baada ya taarifa ya habari Leo....
Haloooo nimecheka Sana walah picha zao.
Yaani camera inaonesha mtu anaongea kamera inamkata kichwa. .mauzauza
hahahaha kweli lknTBC kaondoka nayo Mpiga dili Tido Mhando
Mara nyingi Taasisi hufanya vyema zinapoongozwa Na watu wanaotuhumiwa Kwa ubadhirifu bila ya kujali ukweli Au uongo wa Tuhuma hizo
1) Jakaya Kikwete- Tanzania
2) Dr Dau- NSSF
3) Nehemiah Mchechu-NHC
4) Dkt Charles Kimei- CRDB