ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Unaota ?Leo katika kuperuzi channeli za kibongo nimeshtuka sana kwa jinsi tbc1 walivyo na HD ya nguvu cjui huu mchakato umeanza lini lkn wamejitahidi sana. nb mbolesheni vipindi ili kuwe na ushindani na televisheni nyingine.