digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,402
- 22,961
Yani rasul llah kawa makonda?![emoji23] nirudishie chenchi nishuke
Ni makonda ushasema
Acha kutaja jina la Allah dhidi ya huyo muovu mtekaji.Mpaka leo hajasema siku lissu anashambukiwa risasi alikua wapi an anafanya nini?
Anadhulumu wahindi wa watu pesa kisha anakuja kujisafisha mbele ya jamii kwa kutoa misaada.
Hembu muulize hizo pesa kazipata wapi?kama siyo haramu tupu
Rasul llah maana yake nini?Yani rasul llah kawa makonda?![emoji23] nirudishie chenchi nishuke
Inaonekana hata hilo neno hulijui maana yake
Sina la kukuambia hapo ila unajiaibisha sana na kutafuta popularity
Sent from my iPhone using Tapatalk
Acha kutaja jina la Allah dhidi ya huyo muovu mtekaji.Mpaka leo hajasema siku lissu anashambukiwa risasi alikua wapi an anafanya nini?
Anadhulumu wahindi wa watu pesa kisha anakuja kujisafisha mbele ya jamii kwa kutoa misaada.
Hembu muulize hizo pesa kazipata wapi?kama siyo haramu tupu
Makonda anaweza akawa ni mbaya sana au ana matatzo mengi sana ila kuna vitu anasaidia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Rasul maana yake ni mjumbeRasul llah maana yake nini?