Pongezi kwa Mbunge wa Ukonga Mh. Waitara Mwita

JUkonga

Member
Dec 30, 2015
14
13
Leo Mjini Dodoma Mbunge wa Ukonga Mh, Waitara amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Wabunge wa Chadema Kanda ya Pwani yenye Mikoa ya kichama ya Dar es Salaam na Pwani.

Katika Kikao hicho pia Mbunge wa Viti Maalum Mh. Lucy Magereli amechaguliwa kuwa Katibu wa Wabunge wa Chadema.

Kabla ya Uchaguzi huo, wabunge wa Chadema walikuwa na Kikao cha Siku mbili kilichokuwa chini ya Mwenyekiti wa kanda ya Pwani Mh. Frederick Sumaye na Makamu wa Saed Kubenea pamoja na Katibu wa Kanda hiyo Mh. Casmir Mabina.

Waitara.jpg
 
Naona mnazidi kutafuta kila njia za kutafuna ruzuku......
 
Back
Top Bottom