charminglady, wewe mwenyewe uliniona nilikuwa baba shughuli, nilikuwa najitahidi kuongea na kila mtu huku nikihakikisha mambo yanakwenda sawa, nasikitika sikuonana na wewe face to face tukateta japo kidogo, lakini naamini uliniona jinsi nilivyobanwa.
pamoja sana