CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
charminglady, wewe mwenyewe uliniona nilikuwa baba shughuli, nilikuwa najitahidi kuongea na kila mtu huku nikihakikisha mambo yanakwenda sawa, nasikitika sikuonana na wewe face to face tukateta japo kidogo, lakini naamini uliniona jinsi nilivyobanwa.
pamoja sana
Walianza Chugga.......wakafuata Tanga......ikaja Dar......sasa sijui nyie Mwanza mnaogopa nini.......?
Ubarikiwe sana kipenzi changu...naamini nanyi mnaweza ila nia ndio haijawa thabiti.
Mhmhmh... nilikuwa nakupimua tu na kuumia kimoyomoyo make niliona Paloma kakubana saaaana na mkoti wako mkuuubwa km uliazima kwa babu yako!!!!
Wala sikujua kuwa ulikuwepo, ungepiga kelele kidogo jamani tuktambue.
Khaaa....yaani mwenzako nimetumia mshahara wa graduate serikalini kununua lile koti na bado unaliponda?
Kesi hii haiishii hapa..
Teh teh.... Sema nisitoboe siri. Ila kwanini ulinichunia wakati ulinipromise mi ni namba moja???? Sijasahau ujue.....!
charminglady ulikuwepo kweli au ndo yaleyale ya Bujibuji?
Sikutaka kutoa panga tu... nilikuwa nalo kiunoni ujue..... Bhita ni Bhita muraaaaa!!!!!