Pongezi kwa jeshi la Polisi

Maengo

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
280
29
Hivi majuzi mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya kichina hapa Tanzania aliuawa na majambazi na kuporwa kiasi fulani cha fedha! Askari polisi walifanya msako na baada ya siku chache wakafanikiwa kuwatia mbaroni watu wanaodhaniwa kufanya mauaji hayo! Pongezi kwa jeshi la polisi!

swali langu: Je, ni mara ngapi wazawa wamepatwa na mikasa kama hii na watuhumiwa wakakamatwa? Achilia mbali ule ujambazi unaofanywa kwa watu wa kawida, hapa tuseme kwa taasisi za kifedha kama mabenki!
Je, tuseme askari ni wazembe au wageni ndiyo huwa wanaathirika sana na haya mtukio?
 
Sasa mbona title yako haiendani na mwili wa habari yako. Kama ulikuwa na nia ya kuwaponda ungesema tu '' Acheni upendeleo jeshi la polisi''
 
kumbe bado hawajathibitishwa
 
Sasa mbona title yako haiendani na mwili wa habari yako. Kama ulikuwa na nia ya kuwaponda ungesema tu '' Acheni upendeleo jeshi la polisi''

Asante mkuu ila nimeona niwapongeze kwanza kwa kufanikiwa kuwakamata hao wahalifu halafu ndo niwaulize haya maswali! Labda ulikuwa ni uzembe na sasa hv wamejirekebisha!
 
Lakini mbona kunawatuhumiwa wengi magerezani na wengine wako nje kwa dhamana,
kwani wote waliwafanyia uhalifu wageni?
Tuwe fair, Police wametekeleza wajibu wao
 
wewe unauhakika gani kuwa waliokamatwa ndio waliohusika? Na kama wamebambikiziwa je? Watu wengi sana wanabambikiziwa kesi ambazo si zao kwa taarifa yako kama hujui!!!
 
Asante mkuu ila nimeona niwapongeze kwanza kwa kufanikiwa kuwakamata hao wahalifu halafu ndo niwaulize haya maswali! Labda ulikuwa ni uzembe na sasa hv wamejirekebisha!

Sio kila anayekamatwa anafikishwa mahakamani, na sio kila aliyekamatwa na polisi na kupelekwa mahakamani anapatikana na hatia. Umewahi sana kuwapa pongezi.

Je kuhusu kuzuia na kupiga risasi gari lililokuwa na hela baado unawapa pongezi? Kova hajaita press conference kuelezea hilo. Kwa upande wangu mimi naona kitendo hiki ni aibu ya mwaka kwa jeshi la polisi
 
Lakini mbona kunawatuhumiwa wengi magerezani na wengine wako nje kwa dhamana,
kwani wote waliwafanyia uhalifu wageni?
Tuwe fair, Police wametekeleza wajibu wao

wajibu wa polisi ni kulinda wananchi sio kungoja wadhuriwe halafu ndio waanze kuhangaika kukamata watu ambao baadaye huachiwa
 
sisi jeshi ra porisi tuna wajibu wa kurinda wawekezji wa kigeni kwa upekee wa aina yake ili kulinda uwekezaji!!!
 
kumba huyu mzee aliyefiwa na mke wake siku za nyuma aliwahi kutoa pikipiki kwa jeshi la polisi tanzania kama shukrani yake kwa jeshi kwa jinsi linavyopambana na majambazi.mia
 
ni kama sinema tu, polisi na majambazi lao moja na wanawajua vema hata siku wanayofanya tukio
polisi huwa wanataarifiwa ili wasije ktk eneo
na baada ya shughuli mgao huwa sawia.wakipunjiwa basi huwageuka haraka na kuwakamata.
wakishawapeleka mahakamani huchelewesha upelelezi mahakamani baadae wakishalipana huandaa
nole kwa dpp na kusema hawana nia ya kuendelea na kesi kumbe wameshalipwa.Tanzania ni zaidi ya uijuavo
 
polisi,mahakama,ardhi.TRA na Uhamiaji hospitali vyote vichaka vya kitu kidogo.ukipita jirani lazima uchomwe na mwiba
 
Back
Top Bottom