Hivi majuzi mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya kichina hapa Tanzania aliuawa na majambazi na kuporwa kiasi fulani cha fedha! Askari polisi walifanya msako na baada ya siku chache wakafanikiwa kuwatia mbaroni watu wanaodhaniwa kufanya mauaji hayo! Pongezi kwa jeshi la polisi!
swali langu: Je, ni mara ngapi wazawa wamepatwa na mikasa kama hii na watuhumiwa wakakamatwa? Achilia mbali ule ujambazi unaofanywa kwa watu wa kawida, hapa tuseme kwa taasisi za kifedha kama mabenki!
Je, tuseme askari ni wazembe au wageni ndiyo huwa wanaathirika sana na haya mtukio?