ibrahimaugustine19
Member
- Jun 18, 2019
- 22
- 34
Nahisi data zao ni wale watu wanaotype hizo address kwenye address bar ya browser.Hivi yahoo bado iko popular bado?
Hivi yahoo bado iko popular bado?
Unajua ukifatilia kwa kila kampuni hapa bongo ambalo bado halina domain name yake mfano .co.tz na emails zake basi utagundua kwa kila makampuni matano basi manne hadi matatu bado yanatumia "yahoo.com" pia wengi wasio na ufahamu wa hizi search engines utakuta wanatumia bado msn au yahoo coz huwa zinakuja by default kwenye devices mbalimbali (mfano Internet explorer inatumia MSN by default na wengi hawajali kuibadilisha as long as inaleta search results) so mwisho wa siku utakuta yahoo bado inatumika tu, hata worldwide yahoo bado iko kwenye top 10 ya most viewed webs ( 7th according to Alexa)Nahisi data zao ni wale watu wanaotype hizo address kwenye address bar ya browser.
Wanaotumia app hawahesabiwi Kama wameingia FB.
Kwa mazingira ya kawaida no way YouTube na Yahoo ziwe na watumiaji kushinda FB kwa Tanzania.
Hivi yahoo bado iko popular bado?
Nilitegemea Pornhub iwe namba moja.Source Alexa
Jamii forums yashika nafasi ya 5 Tanzania kwa mitandao inayo tembelewa sana hapa bongo,jamiiforums ime mpiku millardayo,bongo5,udakuspecially ambayo iliyonekana kuja kwa kasi kipindi cha nyuma
Pongezi kwa Maxence Melo, pamoja na wadau wote wa mtandao huu
View attachment 1145148
Ni kweli unavyosema mkuu, ila we are talking about Facebook hapa, mpaka vijijini huko watu wanaijua, visimu vya ajabu ajabu na operamini.Unajua ukifatilia kwa kila kampuni hapa bongo ambalo bado halina domain name yake mfano .co.tz na emails zake basi utagundua kwa kila makampuni matano basi manne hadi matatu bado yanatumia "yahoo.com" pia wengi wasio na ufahamu wa hizi search engines utakuta wanatumia bado msn au yahoo coz huwa zinakuja by default kwenye devices mbalimbali (mfano Internet explorer inatumia MSN by default na wengi hawajali kuibadilisha as long as inaleta search results) so mwisho wa siku utakuta yahoo bado inatumika tu, hata worldwide yahoo bado iko kwenye top 10 ya most viewed webs ( 7th according to Alexa)
Ila ni kweli kwamba hizo data hapo wanaangalia tu ile traffic inayokuja kupitia webbrowser na sio App coz Alexa wao wanadeal na website traffics tu
Nilitegemea Pornhub iwe namba moja.
Watanzania mnafeli wapi?
kenya , uganda hawana porn kwenye top 10 zao isipokuwa Tz....Ni kweli unavyosema mkuu, ila we are talking about Facebook hapa, mpaka vijijini huko watu wanaijua, visimu vya ajabu ajabu na operamini.
Kwa data za December 2017 Facebook Ina watu milioni 6 Hapa Tanzania. No way Yahoo iipite FB.
Xn Video na Pornhub ni site tofauti mkuu, sema zote zinaweka video za ngono!xvide
xvideos ni ya saba mkuu
swadakta.xvide
xvideos ni ya saba mkuu
Mkuu ila nilimaanisha content ya website.Xn Video na Pornhub ni site tofauti mkuu, sema zote zinaweka video za ngono!