Pongezi kwa Benard Cammilius Membe

Nchi nzima ipo kwenye terror ila walao Membe anaongea!

Walao!

Achukue fomu tu huko CCM!

I cant wait to see terror in Jiwe’s eyes aisee!

It will be monumental!
kuna watu nawasikiaga wanaongea haya huko mtaani...hata mimi ni mfuasi wa Membe lakini hizi ni ndoto za Alinacha
 
We mtu kwani sasa hivi hatupigwi?
 

Wewe umeongea point kubwa, Siku akiitisha vyombo vya habari akatangaza nia, itakuwa ni cherekochereko nderemo na vifijo!. Nchi itasimama siku hiyo!
 
Wewe ndio humpendi sisi tunampenda Rais wetu..
Hata kikwete, Kinana, Nape na January walikuwa wanajishaua kama weww, hawakujua kuwa jamaa ni chizi! Mwenye uhakika wa maisha ni mtoto wake Doto James sio wewe k.enge wa Lumumba.
Utanikumbuka siku moja. Hata sisi tulikuwa wajinga kama wewe tulimsupport kwa nguvu zote....ila alipoanza kuvuruga uchumi na kusingizia wengine tukajua huyu ni chizi tukaachana naye..sukari, korosho, mbaazi, pamba, mahindi, utekaji, ubinyaji demokrasia, kuingilia mahakama, upendeleo n.k
 
Mna matatizo mkuu! Na kwa akili zenu hizi acha ccm iendelee kutamba
Ndiyo maana kutwa ni kumbe myukufu Magufuli, kwani ukimtsja mtu ina maana mwingine umemsahau? Kwenye maisha lazima uwe na plan A B C......sasa wewe una plan A tu ni kusifu na kuabudu mtu mmoja
 
Mbona mnaangaika sana?
Maneno ya matumaini yasiyokuwa na uhalisia(mameno ya kutia moyo na ukweli unajulikana)
 
Sawa sawa
 

Wewe huoni maflyover, MaSGR, Midege, mibarabara huku na kule, midaraja, shule bure. Miairport yaani kama ulaya.. Hakuna Rais kama huyu aisee..
 
Katika nchi zilizoendelea tangu ilipotambulika kuwa mtandao uliodukua mazunguzo ya mh. Membe ni Vodacom hisa za kampuni hii zingetareka/ zingeshuka bei
 
kuna watu nawasikiaga wanaongea haya huko mtaani...hata mimi ni mfuasi wa Membe lakini hizi ni ndoto za Alinacha

Haina shida ni maoni yako!

Uzuri tunaheshimu maoni ya kila mmoja!

Ila I cant wait to see terror in Jiwe’s eyes siku anamuona Membe anachukua fomu!

Jamaa lioga kama fisi!

I cant wait!
 
2020 KAZI NA BATA.

usiwe more Christian than the Roman.
Usiwe more Christians than the Roman alisema nani hayo maneno ?


"Nchi yetu ni tajiri, Watanzania tunaweza, Jengo hili limegharimu Mabilioni ya fedha zaidi ya bilioni 700, fedha hizi zimetolewa na Watanzania kwa asilimia 100, ambapo asilimia 15 fedha taslimu na 85% tumekopa , na mkopo huu utarejeshwa kupitia kodi zetu" - JPM #UzinduziTerminal3
 
Wanaodhani hili suala ni gumu kwa Membe nataka niwaambie mimi sioni ugumu wowote, urahisi wenyewe ni kwamba akichukua fomu hana cha kupoteza!.

Ngoja atangaze kuchukua fomu muanze kuona endorsement ya makada wa CCM moja baada ya nyingine, Hakatwi mtu kizembezembe mpaka jina lifike mkutano mkuu kura zipigwe na wana CCM wenyewe waamue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…