Pongezi kwa Benard Cammilius Membe

Yaani tuache kulichagua jembe JPM tumchague Membe?

Ni hivi Membe ni mchafu hilo halina mjadala, ila sio yeye wala wala jiwe wanafaa kuongoza nchi hii, hapa watu wanamshangilia Membe na uchafu wake kwasababu wanataka uhuru wao. Kama ni maendeleo yanaweza kuletwa na yoyote maana ni kodi za wananchi na sio mshahara wa rais. Mimi Membe akimbwaga jiwe nitafurahi sana, lakini Membe hata afanyeje hawezi kupata kura yangu.
 

Kuna mtu alihonga nyumba ya serikali halafu akiwa jukwaani anajifanya kuongea kwa uchuuuungu dhidi ya ufisadi. Jamaa sijui alichukua kozi ya Sanaa?
 
Kuna wati mnastess hadi naona akili zinawaruka!
Hakuna la maana na la maana hakuna!!

Utapata likes nyingi kwa watu wenye stress wenzio ,,,kumbuka s kila wanaokushangilia wanamaanisha wengi wao hufanya hivyo ili umakize kuongea!!
 
Na yamkimkuta ya Kumkuta naomba msipotee katika Kumuonyesha huu huu Upendo wenu wa Kinafiki Kwake ambao umejaa Uanaharakati, Chuki na Visununu vya Kisiasa.

Yakimkuta yapi boss? Acha mikwara mbuzi. Kwa taarifa yako tunajua fika Membe ni mchafu, ila hata jiwe ni ibilisi vile vilevile, na isitoshe hana haki miliki ya urais. Hapa Membe hashabikiwi kisa ni msafi au mwema sana kuliko jiwe, bali style ya jiwe kutuongoza kama wake zake sio kabisa. Akaongoze familia yake kikondoo, sisi tumeshatoka kwenye zama za kusujudu viongozi. Hawezi kuongoza kwa kuheshimu demokrasia yetu akae pembeni, na hiyo miradi aliyosimamia ikajengwa kama anaona ni deal sana atapewa iwe yake yeye, sisi atulipe kodi yetu fullstop.
 
Kuna wati mnastess hadi naona akili zinawaruka!
Hakuna la maana na la maana hakuna!!

Utapata likes nyingi kwa watu wenye stress wenzio ,,,kumbuka s kila wanaokushangilia wanamaanisha wengi wao hufanya hivyo ili umakize kuongea!!

Mkuu tunatumia freedom of speech!, Kama wewe unampenda na unamkubali sana JPM una haki hiyo wala hatukulaumu

Ila fahamu kuwa tupo tusiomkubali kabisa JPM na staili yake ya uongozi na tunaamini kuwa hawezi kutusaidia kupiga hatua kubwa mbele 2020-2025 kwasababu staili yake ya uongozi ni "reactionary" kuliko kuwa "visonary"

Kwa hiyo ndugu yangu usione ajabu, huwa hakuna lisilowezekana, wacha tutimize wajibu wetu wa kumng'oa JPM mwaka 2020, then yatakayofuata ni matokeo!
 
wewe afadhali kipindi hicho waliwanasa waliokutaka kupindua serikali ya JKN. Siku hizi mazoba yanasikiliza hadi mipasho ya wanawake halafu yanaiachia!! Tuna vibaka TISS kibao siku hizi.
Ndugu hakuna cha afadhali kipindi chao ilikuwa ndio aibu kabisa karibu wote tulikuwa Usalama
 
Si mlisema inegushiwa ile sauti mbona hamueleweki. Nape yeye amesema iachiwe mamlaka.
 
Wengine mkasema kachero mzoefu hawezi kidukuliwa kirahisi hivyo kwa hiyo hiyo sauti haiwezi kuwa yake. Leo mnakuja hapa kumsifia
 
Ndio kusema 2020 ni CCM tena? Inamaana ccm itaongoza hadi mwaka gani?
 

Kama jiwe ambaye aliuza mpaka nyumba za serikali kifisadi lakini alipewa uraisi na tume sembuse mtu kama Membe [emoji23]
 
Wewe ndio humpendi sisi tunampenda Rais wetu..

Sasa una maana gani? Sema wewe na familia yako au wewe na lumumba wenzio au wewe na wale waliosemwa kwenye utafiti wa twaweza.
 
Tatizo la JPM ni watu wasiojulikana. Na mimi sitompa kura yangu kwa sababu hiyo. Maovu yanayofanywa na "watu wasiojulikana" yamezidi na aidha anawafuga au amewashindwa
Ndio tatizo la kumtegemea MTU kama zero brain bashite kwenye maamuzi ya nchi Leo haya 2020 bado lakini kelele za utetezi za akina Bashiru na Musiba kila uchao hapo Membe haya hajatangaza nia,siku atakayotangaza nchi itatetemeka jiwe amejitengenezea mwenyewe njia mbaya.
 

Mpaka nimekuonea huruma mkuu. Kweli unamaanisha haya uliyoandika[emoji848]. Mkiambiwa mna uwezo mdogo sana wa kufikiri na kujenga hoja mnadai mmetukanwa, sasa hiki nini ...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…