.. No. Kinachomfanya Dr. K kuwa kimya ni kwamba yeye ni mfanya kazi wa serikalini, haruhusiwi kujiunga na vyama vya kisiasa hasa kuwa kiongozi, na ndio maana yeye ametulia, kwa7bu hadi hapobalipofikia keshasimamishwa kuwa kiongozi wa kitivo pale UD, au hulijuwi hilo? Kwahiyo anakuwa mpole ili labda atarudishiwa unga wake. Kawa kiongozi wa chama, alipogundulika akavuliwa uongozi chuoni, alafu hata mmoja anayeenda kumtetea, kwahiyo anaona akijitokeza zaidi asije akamwaga unga na kazi ya kabisa.. Kwahiyo hiyo ndio 7bu ya yy kutulia kuliko wengine. Sio kama hataki ila kazi serikalini na sheria za utumishi wa umma ndio kinamfanya awe hivyo... Sawa we mbulula? ( mi napita tuu sina chama, ni mtazamo tuu)Wana Jf nimefurahishwa sana na tabia ya dr kitila mkumbo,nimemfuatilia sana tangu zilipoibuliwa tuhuma dhidi yake pamoja na zitto na samson mwigamba.dr amekuwa katika hali ya utulivu mkubwa kuliko watuhumiwa wenzie.maana baada ya kamati kuu kuwavua nyadhifa zao na kuwapa siku 14 dr amejitokeza mara mbili tu kwenye media kuzungumzia suala hilo.kutokana na sababu hiyo nimeanza kuamini kwamba maneno aliyosema kwenye kamati kuu kwamba aliingizwa tu kwenye mkenge na zitto pamoja na mwigamba ni ya kweli.nasema hivyo kwa sababu ukiangalia baada ya wote wa 3 kurudisha fomu zilizokuwa na mashtaka 11 dr mkumbo amekuwa kmya akisubiri hatma yake,tofauti na wenzie ambao wameendelea kuhangaika kwa kisngizio cha kupigania haki yao ndani ya chama hata kabla ya chama kutoa hitimisho.zitto kabwe ndio huyo yuko kigoma akiomba huruma ya wananchi,mwigamba ndio huyo katia timu kwa msajili wa vyama.swali linakuja ni kwanini hawa wawili wanatafuta utetezi nje ya chamachao mapema?na kwa nini yy dr mkumbo katulia akisubira maamuzi ya vikao vya chama?je ni kutofautiana kwa viwango vyao vya elimu ndio kulikowatfautisha?hakika dr mkumbo umenikosha sana na ukimya wako hivyo kuthibitisha kwamba hakika ww ni msomi uliye elimika.GUILTY ARE ALWAYS AFRAID.hongera sana dr mkumbo.nawasilisha.
Sifa ya kuwa dr ni kufikiri na ndiyo maana kakaa kimya lakin hao wezake fikra zao ni finyu na uchu wa madaraka ndiyo unaowasumbua
I said and I say it again, Zitto ni mzigo mzito.
agreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeedCHADEMA bana wanafurahisha, ukikubaliana na upuuzi wa wakina Lema, Mbowe, Slaa na Josephine unaonekana shujaa, una hekima na msomi. Ukiwapinga kwa ubadhirifu wao na uhafidhina unaonekana msaliti! Zitto ndio main character hapa hao wengine walikuwa wancheza supporting roles tu! usiwafananishe! Zitto has a lot at stake!
.. No. Kinachomfanya Dr. K kuwa kimya ni kwamba yeye ni mfanya kazi wa serikalini, haruhusiwi kujiunga na vyama vya kisiasa hasa kuwa kiongozi, na ndio maana yeye ametulia, kwa7bu hadi hapobalipofikia keshasimamishwa kuwa kiongozi wa kitivo pale UD, au hulijuwi hilo? Kwahiyo anakuwa mpole ili labda atarudishiwa unga wake. Kawa kiongozi wa chama, alipogundulika akavuliwa uongozi chuoni, alafu hata mmoja anayeenda kumtetea, kwahiyo anaona akijitokeza zaidi asije akamwaga unga na kazi ya kabisa.. Kwahiyo hiyo ndio 7bu ya yy kutulia kuliko wengine. Sio kama hataki ila kazi serikalini na sheria za utumishi wa umma ndio kinamfanya awe hivyo... Sawa we mbulula? ( mi napita tuu sina chama, ni mtazamo tuu)
wanakigoma ndo waliomfanya afike pale alipo. na hao siku zote ndo wakuwa nao na sio hao akina slaa na mbowe. use common sense. Zitto know what is doing. keep going Zitto.Binafsi nampongeza dr. Kitila kwa utulivu wake, tatizo la zitto haeleweki, mara aseme hivi na afanye vile, hakukuwa na haja mapema kwenda kulialia kwa wanakigoma! Kuwaingiza wanakigoma kwenye ugomvi wa zitto na chadema, ili ionekane ni ugomvi wa chadema na wanakigoma sio sawa! Zitto ilitakiwa apambanie uwanachama wake kwenye cc ya chadema na sio kwenda kulialia mwandiga!
kama ni hivo hakuna haja ya kuwa na taifa, ilitakiwa kila mkoa uende kivyake, let say kila kiongozi akitolewa cheo na serikali au taasisi akienda kulalamika kwao au kushitaki tutakuwa na taifa? Ina maana kina nchimbi waende songea kulialia kwa sababu wamenyang'anywa vyeo vyao? Wanasiasa kama kina zitto ni hatari kwa mshikamano wa taifa letu. Kukubaliana na upuuzi huu ni kuangamiza taifa!wanakigoma ndo waliomfanya afike pale alipo. na hao siku zote ndo wakuwa nao na sio hao akina slaa na mbowe. use common sense. Zitto know what is doing. keep going Zitto.
kitila is doing the same. serikali through chuo ndo wanaomfanya aende choo. na hao ndo wakula nao sahani moja. The same to what mwigamba is doing.
Naunga mkono hoja ya ukimya wa Dr. Kitilla ila pia
Kuna ukimya wa aina mbili, ule ukimya wa mtu hana la kusema na ule ukimya wa kuamua tuu kutosema!.
Kuna ukimya wa kusubiria hatima, ila ila kama tayari umeishaijua hatima, huna haja ya kuisubiria kimya!.
Dr. Kitilla anaisubiria hatima!, Zitto anaijua tayari!, wala hausubirii!.
Ila pia kuna kimya kingi chenye mshindo mkuu!.
Pia shishangai kama walivyo kuku, kuna kuku akishikwa kuchinjwa, anatulia tuu anachinjwa kama afanyavyo kondoo!, na kuna kuku akishikwa kuchinjwa, lazima akukuruke!.
Kwenye tuhuma zozote, ukimya ni admission of guilt, Dr. Kitilla alikubali tangu day one, kuwa yeye ndie initiator wa ule waraka na kumshirikisha Mngamba!, hivyo kunyamaza na kusubiria ni halali yake!.
Zitto anasingiziwa!, hatma yake iliishaamuliwa siku nyingi!, alikuwa anatafutiwa sababu tuu!, kwa nini anyamaze?!. Atulie tuu achinjwe kama yule kuku kondoo?!.
Pasco.