Pongezi Dkt. Magufuli kutenganisha shughuli za Chama na Serikali, Utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa!

Pongezi Dkt. Magufuli kutenganisha shughuli za Chama na Serikali, Utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa!

Wanabodi,

Bandiko hili ni kufuatia hoja ya mwana jf huyu.


Mkuu Yohane Mbatizaji, kwanza asante kwa bandiko hili.
Mimi ni miongoni mwa tuliyemuona live kupitia TBC rais Magufuli akichukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM katika ofisi Kuu ya CCM Makao Makuu Dodoma leo asubuhi na kuona jinsi alivyoondoka na gari moja la number za kiraia, bila ving'ora wala msafara.

Nawatakia Jumatano Njema.

Paskali

Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.
Kwa vile kila zama na zama zake, Pumzika kwa Amani Magufuli wetu huko ulipo.
RIP JPM
Paskali.
 
Nimeamini bila shaka kwamba JPM alikuwa moto wa kuotea mbali.

Nilichogundua ni kwamba, JPM alikuwa ni MOTO wa Nyuklia.

Shida iliyopo sasa ni kwamba, wote waliotofautiana na JPM bado wanamwogopa hata kama amezikwa.
Mbaya zaidi, hata baadhi ya waliopo madarakani bado wanamwogopa, hivyo wanashindwa kujiamini.

Atukuzwe Mungu aliyetuletea JPM ili atuoneshe njia ya kweli.
Mkuu Daisam ,naunga mkono hoja na bandiko hili ni uthibitisho wa hili.
P.
 
Back
Top Bottom