Pongezi Dkt. Magufuli kutenganisha shughuli za Chama na Serikali, Utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa!

Kisha akatanua.....jamaa wakikimbia kwa pembeni.... akiwa covered kwa nyuma.

Hivi ukitoa namba kwenye gari la ofisi na kuweka zako unakuwa umetumia gari lako binafsi eee.

Makonda alishashutumiwa leo comrade anapewa sifa.
Paskali anajua kabisa pale ni uhuni wa kutafuta kiki umefanyika.
 
Kaka Paskal ;
Yaani Kila Kitu ni kutaka Kiwe sifa.Hata mtu kutimiza wajibu au kutii sheria ni sifa ! Kwani aliyemzuia nani ? Mbona Mengine yasiyofaa hamsemi kuwa hajatimiza wajibu au kufuta sheria.Msimpunguzie mtu hata wale wachache wanaofikiri kumuunga mkono kwa mambo ya mepesi. Tutafute sifa kwenye jambo la msingi.
Na kama tumeanza hivi kuna hatari mwaka huu kikafanyika kituko zaidi kutafuta Legitimacy (uhalali) wa kupata kura. Kikubwa Tumuombe Bwana wetu Yesu Kristo Mungu aliye hai atuwezeshe kuchagua ; kwa maana hizi ni tawala za wanadamu tu.
 
Mkuu, Kipangaslecial, kwanza asante kuchangia uzi wangu,
Kuwa mkweli, angalia clip hiyo, ilikuwa ni gari moja na hadi foleni imekaa!.
P
Sio kweli , nyuma ya hilo gari kulikuwa na magari mengine ya msafara.
Pia kwenye hilo igizo tunaona kabisa kuna wana usalama wanakimbilia hilo gari unalosema gari la binafsi.
Itoshe kusema ccm wanajua kucheza na akili za wasiofikiria.
 
Wanawake wa Tanzania amkeni huyu jamaa ni misogynist...anawachukia wanawake kulikuwa na sababu gani kufananisha barakoa na titi?Nitawachapa shangazi zako plus mimba za wanafunzi nk ...huyu nchi nyingine wanawake wangempa kisogo ...wanaharakati wafungueni macho wanawake wenzenu
 
Wanabodi,

Bandiko hili ni kufuatia hoja ya mwana jf huyu.

Mkuu Yohane Mbatizaji, kwanza asante kwa bandiko hili.
Mimi ni miongoni mwa tuliyemuona live kupitia TBC rais Magufuli akichukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM katika ofisi Kuu ya CCM Makao Makuu Dodoma leo asubuhi na kuona jinsi alivyoondoka na gari moja la number za kiraia, bila ving'ora wala msafara.

Kwavile sisi binadamu tunatofautiana observation powers, naomba na mimi nichangie nilichokiona kwenye uchukuaji wa fomu huo na kueleza kina maana gani kwa mustakabali mzuri na mwema wa siasa za nchi yetu kuelekea October 2020.
  1. Kwanza ni kule tuu kuonyeshwa live kupitia TBC tukio la rais Magufuli kuchukua fomu, ni kitu kizuri kwa kuonyeshea transparency ya zoezi hili zima. Kuna msemo wa Kiswahili usemao, " nyota njema huonekana asubuhi" huku kuonyeshea live toka mwanzo is good for transparency.
  2. Uchaguzi huru na wa haki ni process inayohitaji maximum transparency, kwasababu rigging zote za uchaguzi huwezi kufanyika kutokana na lack of transparency, hivyo hii Transparency ni moja ya mambo muhimu sana yanayoufanya uchaguzi uwe huru na wa haki na matokeo kuwa credible na Kukubalika na wote. Mfano kura zote zinahesabiwa kituoni na matokeo ya kila kituo kubandikwa ubaoni transparently, if there is nothing to hide, kwanini vyama vizuiliwe kufanya independent tallying?!.
  3. Kwa vile TBC ni public broadcasting station yaani TV ya umma, TBC imetimiza wajibu wake wa uhabarishaji umma kikamilifu kwa kututangazia live tukio hili ili umma wa Watanzania tushuhudie kwa kuona kwa macho yetu na kusikia kwa masikio yetu na sio kuambiwa au kuhadithiwa, kuona ni kuamini.
  4. Natoa wito kwa vyama vyote vya siasa vitakavyo simamisha wagombea urais, kutoa ushirikiano kwa TBC ili TBC iwatangazie live Watanzania wagombea wao na kuwapa fursa Watanzania kuwaona wagombea wote wakipewa haki sawa kwenye vyombo vya habari vya umma.
  5. Wito kwa TBC, kwanza hongereni kwa kazi nzuri, mlichokifanya leo ni mwanzo mzuri wa mchakato huu wa urais. Nawaomba mvitendee vyama vyote haki sawa, msifanye upendeleo kwa chama kimoja na kuvibagua vingine, hivyo tunategemea kuona live za wagombea urais wa vyama vingine nao wakiwa coved na TBC
  6. Pia nimemnote rais Magufuli akitumia usafiri wa gari lenye number binafsi. This is very good thing kwasababu rais Magufuli ametenganisha shughuli za chama na shughuli za serikali. Rais Magufuli hakutumia gari za serikali, wala hakutembea na msafara na ving'ora, ikiwemo battalion, rais Magufuli ametumia gari moja tuu yenye number za kiraia. Hatutarajii kuendelea kuona vikao vya chama vikifanyikia Ikulu yetu!. Hongera sana rais Magufuli, kwa hili utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa sana kwasababu Mungu ni mtenda haki na anapenda haki, huwabariki watenda haki na kuwaadhibu wasio tenda haki!.
  7. Hatua hii ni hatua yenye essence kubwa sana kwenye mustakabali wa usawa wa kidemokrasia na usawa wa uwanja wa mapambano kujenga uwanja sawa, the level playing field, hivyo ni hatua muhimu kuifuta ile dhana ya kugombea urais Tanzania kufananishwa na kugombea kisu cha makali kuwili huku mgombea mmoja ameshika mpini na kuwashikisha wapinzani wake upande wa makali kuwili
  8. Wito kwa Tume yetu ya Uchaguzi, NEC, nawaombeni mfuate mfumo wa usawa wa wagombea urais wa Nordic countries na Scandinavian countries ambapo wagombea wote wa urais wanakuwa treated the same. Kama kuna mgombea ana ulinzi kwasababu yeye ni rais, then wagombea wote wanapewa ulinzi. Kama kuna mgombea ana msafara wakiwemo media, wagombea wote wanapewa misafara, media na logistical support ili wote pafananie, na sio mgombea mmoja ndio anatumia state logistics kwasababu ni rais na wengine wote wapambane na hali zao.
  9. Kuwatendea haki sawa wagombea wote wa urais wa vyama vyote kutapelekea taifa letu kubarikiwa na kupata neema, baraka na ustawi.
  10. Kukipendelea chama kimoja au mgombea mmoja na kutowandea haki sawa wagombea wote wa vyama vyote kutapelekea Taifa kuchapwa na bakora za karma ya upendeleo na kutotenda haki kwa wote.
Nawatakia Jumatano Njema.

Paskali
Mlamba viatuuu

Hizi thread zako wakija kusoma wanao humu watakudharau Sana
 
Mkuu Yomboo, kwanza asante kuchangia tena uzi wangu, watoto wangu baadhi ni wakubwa 4, 2 wamemaliza universities, na wawili wako vyuo na hawa wakubwa 4 ni members humu jf, ila kuna hao wadogo 4 ambao, they are not!, labda hao!.

Hao watakaokuja kunidharau ni kama wana akili kama zako, maana huo ndio uwezo wako, mfano bandiko hili, uwezo wa baadhi yenu ni kusoma tuu heading ulipoona tuu nasifu uwezo wako ukaishia hapo, lakini wenye uwezo wa kusoma contents, wanajua there is a very strong message natuma mahali na imefika!.
P
 
Nimeona hata yule mlinzi anayemfuatafuata nyuma hakuwepo
Acha ushamba yule mjeda ane kaa nyuma sio mlinzi yule ni mpambe wa rais AID DE CAMP rais akiwa kwenye shughuli za kiserikali anakuwa nae mpambe wake ila sio mlinzi walinzi ni wazee wa suit's
 
Jambo la hatari sana kumuachia Rais wetu akitembea dodoma bila sweeper,dodoma ni kama kigali hakuna ring roads,magari yote yanakutana katikati ya jini iwe lori au dala dala,wasaidizi wa Rais msirudie tena huu mchezo Rais anapishana na vipanya kisa tusionekane tunatumia rasilimali za serikali?
Mimi nilikuwa pale vipanya vyote viliendeshwa na TISS
 
Wanabodi,

Bandiko hili ni kufuatia hoja ya mwana jf huyu.

Mkuu Yohane Mbatizaji, kwanza asante kwa bandiko hili.
Mimi ni miongoni mwa tuliyemuona live kupitia TBC rais Magufuli akichukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM katika ofisi Kuu ya CCM Makao Makuu Dodoma leo asubuhi na kuona jinsi alivyoondoka na gari moja la number za kiraia, bila ving'ora wala msafara.

Kwavile sisi binadamu tunatofautiana observation powers, naomba na mimi nichangie nilichokiona kwenye uchukuaji wa fomu huo na kueleza kina maana gani kwa mustakabali mzuri na mwema wa siasa za nchi yetu kuelekea October 2020.
  1. Kwanza ni kule tuu kuonyeshwa live kupitia TBC tukio la rais Magufuli kuchukua fomu, ni kitu kizuri kwa kuonyeshea transparency ya zoezi hili zima. Kuna msemo wa Kiswahili usemao, " nyota njema huonekana asubuhi" huku kuonyeshea live toka mwanzo is good for transparency.
  2. Uchaguzi huru na wa haki ni process inayohitaji maximum transparency, kwasababu rigging zote za uchaguzi huwezi kufanyika kutokana na lack of transparency, hivyo hii Transparency ni moja ya mambo muhimu sana yanayoufanya uchaguzi uwe huru na wa haki na matokeo kuwa credible na Kukubalika na wote. Mfano kura zote zinahesabiwa kituoni na matokeo ya kila kituo kubandikwa ubaoni transparently, if there is nothing to hide, kwanini vyama vizuiliwe kufanya independent tallying?!.
  3. Kwa vile TBC ni public broadcasting station yaani TV ya umma, TBC imetimiza wajibu wake wa uhabarishaji umma kikamilifu kwa kututangazia live tukio hili ili umma wa Watanzania tushuhudie kwa kuona kwa macho yetu na kusikia kwa masikio yetu na sio kuambiwa au kuhadithiwa, kuona ni kuamini.
  4. Natoa wito kwa vyama vyote vya siasa vitakavyo simamisha wagombea urais, kutoa ushirikiano kwa TBC ili TBC iwatangazie live Watanzania wagombea wao na kuwapa fursa Watanzania kuwaona wagombea wote wakipewa haki sawa kwenye vyombo vya habari vya umma.
  5. Wito kwa TBC, kwanza hongereni kwa kazi nzuri, mlichokifanya leo ni mwanzo mzuri wa mchakato huu wa urais. Nawaomba mvitendee vyama vyote haki sawa, msifanye upendeleo kwa chama kimoja na kuvibagua vingine, hivyo tunategemea kuona live za wagombea urais wa vyama vingine nao wakiwa coved na TBC
  6. Pia nimemnote rais Magufuli akitumia usafiri wa gari lenye number binafsi. This is very good thing kwasababu rais Magufuli ametenganisha shughuli za chama na shughuli za serikali. Rais Magufuli hakutumia gari za serikali, wala hakutembea na msafara na ving'ora, ikiwemo battalion, rais Magufuli ametumia gari moja tuu yenye number za kiraia. Hatutarajii kuendelea kuona vikao vya chama vikifanyikia Ikulu yetu!. Hongera sana rais Magufuli, kwa hili utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa sana kwasababu Mungu ni mtenda haki na anapenda haki, huwabariki watenda haki na kuwaadhibu wasio tenda haki!.
  7. Hatua hii ni hatua yenye essence kubwa sana kwenye mustakabali wa usawa wa kidemokrasia na usawa wa uwanja wa mapambano kujenga uwanja sawa, the level playing field, hivyo ni hatua muhimu kuifuta ile dhana ya kugombea urais Tanzania kufananishwa na kugombea kisu cha makali kuwili huku mgombea mmoja ameshika mpini na kuwashikisha wapinzani wake upande wa makali kuwili
  8. Wito kwa Tume yetu ya Uchaguzi, NEC, nawaombeni mfuate mfumo wa usawa wa wagombea urais wa Nordic countries na Scandinavian countries ambapo wagombea wote wa urais wanakuwa treated the same. Kama kuna mgombea ana ulinzi kwasababu yeye ni rais, then wagombea wote wanapewa ulinzi. Kama kuna mgombea ana msafara wakiwemo media, wagombea wote wanapewa misafara, media na logistical support ili wote pafananie, na sio mgombea mmoja ndio anatumia state logistics kwasababu ni rais na wengine wote wapambane na hali zao.
  9. Kuwatendea haki sawa wagombea wote wa urais wa vyama vyote kutapelekea taifa letu kubarikiwa na kupata neema, baraka na ustawi.
  10. Kukipendelea chama kimoja au mgombea mmoja na kutowandea haki sawa wagombea wote wa vyama vyote kutapelekea Taifa kuchapwa na bakora za karma ya upendeleo na kutotenda haki kwa wote.
Nawatakia Jumatano Njema.

Paskali

Too Cheap, Kaanza leo kutenganisha shughuli za Chama na Serikali ?
Ila mnaom support huyu Mzee mtachomwa Vibaya sana siku ya Hukumu
 
Utendaji wa Mungu ni wa ajabu sana, unaweza kushangaa wote tunaomsupport ndio tutabarikiwa kwasababu yote anayo yawaza, anayoyasema na anayoyatenda including all the odd ones, anafanya kwa nia njema with very clear conscious ndio maana anabarikiwa na nchi inabarikiwa na kupata ustawi kama enzi za Mfalme Daudi na mwanawe Mfalme Suleiman, hawakuwa malaika lakini walibarikiwa!, vivyo hivyo Magufuli sio malaika, lakini amebarikiwa na nchi imebarikiwa.
P
 
Mkuu BAK, kwanza asante tena kuchangia tena uzi wangu.
Mimi ni miongoni mwa waumini wakubwa wa karma. Kama kweli ni mimi kupitia zile makala zangu kutafsiri jarida la The Economist ndizo zimepelekea mimi kunyooshewa vidole kuwa ndiye niliyemchomea Erick na kusabisha kifo cha mama yake, kama kweli mimi mimi ndio the cause, then karma itanishughulikia.

P
Wengine karma haiwashugulikiagi
 
Umejitahidi kuandika sn , lakini kwa utawala huu narudia tena utawala huu hakuna haki hasa kwa Chadema na ACT, CDM wamechukua zaidi ya wagomebea 11 haijawahi kutangaza leo hii amechukua huyu ameonyeshwa hivyo hata NEC nayo ina copy kwa TBC CCM wapinzani watashinda lakini hawatatangazwa. Hakuna fair election zaidi ya maigizo na NEC inajua mshindi ni nani hata kama hatapata kura moja.
 
Karma haina mswalie Mtume, ila kuna wengine baada ya kufanya jambo baya, unafanya mema mengi kwa watu wengi hivyo una reverse ile bad karma kwa mabaya yako kufutwa na mema yako.
P
 
Siwezi kumheshimu MNAFIKI anayemsifia MTENDA MAOVU ili tu apate TEUZI agange njaa zake.

Siwezi kumheshimu MNAFIKI aliyehusika kwa kumchomea Erick Kabendera hadi kukamatwa kwa kubambikiwa kesi FAKE kutokana na kuandika article ya ukweli mtupu kwenye Economist hadi kusababisha kifo cha mama yake Erick. Jitathmini na UNAFIKI wako.
Ninatamani siku moja utulie kidogo umsome P. Mayala pasipo mlengo hasi dhidi yake. Vita ya mtu na mtu daima ni mbaya na pengine miisho yake huwa mibaya pia. Nikusihi tu ujifunze kuchukia makosa/tendo ama hoja na si mtu (nafsi/mwili na roho).
Huyu jamaa ni watofauti sana.. hana mlengo, ni wa kupita kati, na huenda anaweza kuwa rafiki yako wa kweli kifikira.
 
Duuh.........

Alikuwa na gari moja wakati njia nzima walijaa askari wa usalam barabarani na magari ya raia yakawekwa foleni.
Mwongo mkubwa wewe wakai gari inatoka mbona ilizuiliwa na daladala na hakuna askari aliyekwenda kumsakama dereva wa daladala hivi mkisema ukweli bila kuongopa mnapunguza siku za kuishi na ukidanganya unalipwa nini? rejea picha wakati anaondoka white house Dodoma.
 
Wanabodi,

Bandiko hili ni kufuatia hoja ya mwana jf huyu.

Mkuu Yohane Mbatizaji, kwanza asante kwa bandiko hili.
Mimi ni miongoni mwa tuliyemuona live kupitia TBC rais Magufuli akichukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM katika ofisi Kuu ya CCM Makao Makuu Dodoma leo asubuhi na kuona jinsi alivyoondoka na gari moja la number za kiraia, bila ving'ora wala msafara.

[*]Pia nimemnote rais Magufuli akitumia usafiri wa gari lenye number binafsi. This is very good thing kwasababu rais Magufuli ametenganisha shughuli za chama na shughuli za serikali.
Paskali

Kwa kuongezea gari alilotumia dereva wake alifuata sheria zote za barabarani ikiwa ni pamoja na kukaa foleni.
 
Msafala wa magari ulikuwa nyuma ya camera mkubwa mbona unakuwa kubwajinga kama msukuma mwenzako Lipumba
 
Back
Top Bottom