Suphian Juma
Senior Member
- Apr 2, 2019
- 133
- 546
Kuna 'viumbe vituko' wenye mahaba na uvunjwaji sheria na Katiba wamekazana kutuzodoa tuliotangaza kuandamana kulishinikiza Bunge kufanya kazi na CAG, kwamba vema 'tungepigwa tuchakae' na huyu Kamanda Muruto asiye na haiba na Utu wala utii wa sheria; nasema ni WAPUUZI!
Kipekee niwapongeze Ngome ya Vijana wa ACT WAZALEND na wote waliotusapoti na kuubariki ujasiri na Uzalendo wetu wa kuitetea KATIBA, kuna SIKU Watanzania wote TUTAANDAMANA bila kuongozwa, tutairudisha nchi kwa MISINGI. The very DAY IS COMING!
Mungu ibariki Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app