Pongezi ACT vijana, watanzania wote kuna siku tutaandamana bila kuongozwa

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
Kuna 'viumbe vituko' wenye mahaba na uvunjwaji sheria na Katiba wamekazana kutuzodoa tuliotangaza kuandamana kulishinikiza Bunge kufanya kazi na CAG, kwamba vema 'tungepigwa tuchakae' na huyu Kamanda Muruto asiye na haiba na Utu wala utii wa sheria; nasema ni WAPUUZI!

Kipekee niwapongeze Ngome ya Vijana wa ACT WAZALEND na wote waliotusapoti na kuubariki ujasiri na Uzalendo wetu wa kuitetea KATIBA, kuna SIKU Watanzania wote TUTAANDAMANA bila kuongozwa, tutairudisha nchi kwa MISINGI. The very DAY IS COMING!
Mungu ibariki Tanzania.
IMG-20190408-WA0037.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio RPC, ni mfumo wakutoheshimu katiba na haki za raia huyu anapokea order from above anatekeleza tu.
 
Toka nifuatilie maandano ya mange na hamasa yake telegram na watu walivyo kuwa wamejiapiza kuqndamana liwalo na liwe halafu mwisho hakutokea hata mtu mmoja, nilisema shikamoo wa Tanzania
 
Kuna 'viumbe vituko' wenye mahaba na uvunjwaji sheria na Katiba wamekazana kutuzodoa tuliotangaza kuandamana kulishinikiza Bunge kufanya kazi na CAG, kwamba vema 'tungepigwa tuchakae' na huyu Kamanda Muruto asiye na haiba na Utu wala utii wa sheria; nasema ni WAPUUZI!

Kipekee niwapongeze Ngome ya Vijana wa ACT WAZALEND na wote waliotusapoti na kuubariki ujasiri na Uzalendo wetu wa kuitetea KATIBA, kuna SIKU Watanzania wote TUTAANDAMANA bila kuongozwa, tutairudisha nchi kwa MISINGI. The very DAY IS COMING!
Mungu ibariki Tanzania.
View attachment 1067108

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu jamaa, kuna wangapi wamepita nafasi kama hiyo au kubwa zaidi ya hiyo, leo wako wapi? wanafanya nini? hali zao zikoje....?
 
Back
Top Bottom