Ponda: Serikali haiwezi kunifunga mdomo

Ponda: Serikali haiwezi kunifunga mdomo

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Akizungumza kwenye kongamano lililofanyika diomond jubilee shehe ponda ameitahadharisha serikali kutaka kumfunga mdomo asizumze juu ya masuala ya dini ambapo hiyo ni haki kikatiba na yeye kama raia wa tanzania anapaswa kuheshimiwa.source majira na mtanzania
 
Anajua anachokifanya. Nina mashaka sana na njia za JK kuingia ikulu.
 
Akizungumza kwenye kongamano lililofanyika diomond jubilee shehe ponda ameitahadharisha serikali kutaka kumfunga mdomo asizumze juu ya masuala ya dini ambapo hiyo ni haki kikatiba na yeye kama raia wa tanzania anapaswa kuheshimiwa.source majira na mtanzania

Bandiko lako la kwanza lilifutwa, umekuja tena na bandiko lile lile....unataka ban?
 
Nadhani siku moja atakipata anachokitaka huwezi kushindana na serikali.

Kwa Serikali hii ya Kikwete inawezekana kushindana na Serikali, unategemea hukumu aliyopewa Ponda haina Mkono wa Jk? huwezi ukashiriki katika wizi na kuhatarisha amani ya nchi alafu ukafungwa kifungo cha nje cha siku kadhaa.
 
Huyu ni Ponda si ni MFUNGWA WA NJE na yuko chini ya UANGALIZI?Haya ndiyo madhara ya kupindisha sheria ili kumfurahisha mtu fulani. Huyu Ponda alitakiwa awe BEHIND BARS sio kifungo cha nje!
 
Sh Ponda usitetereke.....simama imara hakuna mwenye uwezo wa kukuziba mdomo......sana sana watakueka Jela na hiyo kwa Waislam ni University llah Yusuf.....kingine labda wakuhamishe mji na hiyo kwa Waislam ni Hijra Fii Sabilillah...jambo la mwisho ambalo wataeza kukufanyia ni kuuua na kukupa tiket ya Jannat,,....raha gan ilioje Muislam kuuawa na Kafir....,,ivyo bac Muislam hana hasara yoyote ile..,,wafanye watakayofanya ila wajue kua ndo wanakupandisha darja mbele ya Allah SW..,,Jazaka llah kheir Sh Ponda our Muslim Fighter
 
MBN unazungumza kwa chuki au haki ni watu fulani tu wengine wanapaswa kufungwa
 
Sh Ponda usitetereke.....simama imara hakuna mwenye uwezo wa kukuziba mdomo......sana sana watakueka Jela na hiyo kwa Waislam ni University llah Yusuf.....kingine labda wakuhamishe mji na hiyo kwa Waislam ni Hijra Fii Sabilillah...jambo la mwisho ambalo wataeza kukufanyia ni kuuua na kukupa tiket ya Jannat,,....raha gan ilioje Muislam kuuawa na Kafir....,,ivyo bac Muislam hana hasara yoyote ile..,,wafanye watakayofanya ila wajue kua ndo wanakupandisha darja mbele ya Allah SW..,,Jazaka llah kheir Sh Ponda our Muslim Fighter
mungu akulinde dunian na aghera amin
 
Kwani huyu Ponda hakuongea na Lipumba misikitini wakati wa harakati za kumrudisha ikulu JK 2010?
 
mungu akulinde dunian na aghera amin

amiiiiin,,nawe pia Allah SW akulinde Dunian na Akhera..unajua Qur an kamwe haikosei..,,Allah SW ashasema chuki zao juu ya Waislam ni kubwa sana kuliko wanayoyadhihirisha kwenye vinywa vyao..,,ivo bac tuzid kumuomba Allah SW atulinde na hila zao.......(Hamtopata Pepo mpaka muyapate waliyoyapata waliokua kabla yenu),,...!!
 
kweli mkuu keep in touch always
 
Mkuu Marnah hivi hizo harakati za Shek Ponda ni dhidi ya Wakristo au Serkali?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom