Hivi angekua padri, askofu, ama mchungaji nyinyi wakristo mungeponda hivyo ebu acheni udini wenu wa kumfanya ponda aonekane mtu hatari kwa chuki zenu za urirhi, kumbuka hata waislamu ni watanzania kama nyinyi.
Mwananchi hakika ndomaana nawafagilia kwa kuwa wawazi wakutupasha na kufanya mahojiano na Jembe Sheikh Ponda Issa na yeye kupata fursa kunena japo machache
TAHADHARI KWA NDUGU KATIKA IMANI SHEIKH PONDA
Hawa jamaa usiwaambie ulikoficha huo mkanda wataaibaaaaaaaaa