Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, yuko mbioni kuachiwa kwa dhamana muda wowote kuanzia sasa.Taarifa zilizonifikia toka vyanzo vyangu vya uhakika vya Polisi,Usalama wa Taifa na Chama cha Mapinduzi zinasema kuwa Sheikh Ponda atalegezewa masharti ya dhaman ili aachiwe.
sikukuu ishapitaWamebana mwishowe wataachia tu. Hawana ubavu wa kubana maisha.
Wamebana mwishowe wataachia tu. Hawana ubavu wa kubana maisha.
Heeee hata huyu jamaa wa Serikali ya Ccm nae anaunga mkono wakati yeye kila leo hata asikie serikali imeuwa mtu yeye atasema no waliua mbuzi lol!!Kumbe Zomba wewe ni wale wale au na wewe unatokea Zimbabwe??
Hii ni dunia tu. Wewe ukipewa dhamana ukaona kuwa kupitia dhamana hiyo unaweza kufanya ubabe,we fanya lakini ukumbuke kesho kuna kuulizwa mbele ya Muumba wa mbingu ardhi na kila kilichomo. Siku zote mti wenye matunda ndio hupopolewa mawe. Kiuzalendo alichofanyiwa ni dhuruma hana kosa lakufanya asipewe dhamana.
kina nani? police waliowekwa na ccm. ccm ovyo kabisa wamebanaa mwishowe wameachiaWamebana mwishowe wataachia tu. Hawana ubavu wa kubana maisha.
[U said:CUF Ngangari[/U];4935796]wamtoe, wasimtoe IJUMAA lazima kinuke, ngoma barabarani.
KUMBE KUNA SIASA NYUMA ya PAZIA???Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, yuko mbioni kuachiwa kwa dhamana muda wowote kuanzia sasa.Taarifa zilizonifikia toka vyanzo vyangu vya uhakika vya Polisi,Usalama wa Taifa na Chama cha Mapinduzi zinasema kuwa Sheikh Ponda atalegezewa masharti ya dhaman ili aachiwe.