Ponda havumiliki

Ponda havumiliki

Ponda anasema: " watu wote wasio waislamu ni makafiri, na makafiri lazima wauawe ili dola ya kiislamu isimame, na ukiua kafiri unapata dhawabu"



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Acha ushabiki thibitisha kauli yako kama wewe siyo mzushi.
 
Acha ushabiki thibitisha kauli yako kama wewe siyo mzushi.

we una rekodi za mihadhara ya ponda au ?? tuthibitishie ww unayemjua ponda sasa co unavimba misuli tu kwa hisia zako za udini?!?
 
ila greater thikers wanatakiwa watoe majibu ya dizaini gani, mtu hasumbuki na -------- ndo maana ukajibiwa kulingana na upuuzi wako, hilo nalo linahitaji mtu aende shule, hivi unaweza kuniambia how can u be so'sure kama kote uliposema ameleta uchochezi? Kwa propaganda za media au? Umeshawahi kupata nakala ya cd ambayo anayoshtumiwa kaleta kauli ya uchochezi? Maana sehemu zote alizofanya mihadhara cd zake zipo? For ur information Na hata huko morogoro hakuongea cha sana zaid ya kuwaambia waislamu waliohudhuria pale kuwa sku hiyo yeye si mzungumzaji bali siku inayofuata ataongea msikit wa aljabar kwa hiyo waumin wajitokeze, haya kauli ya chochezi hapo ipo wapi? Unatakiwa uvarify kabla ya kupost vitu
Unaonyesha hukusoma post yangu... HAKUNIJIBU MIMI, BALI ALIMJIBU MTU MWINGINE... Majibu aliyoyatoa sikuona kama yanatakiwa yatolewe na Great Thinker.... ndiyo maana nikasema...''Great thinkers hawana majibu ya dizaini hii....'' na hakuna mahala nimetaja CD, wala PONDA.

Kifupi hauko sawa, ila you being driven by emotions, events, who gives out opinions etc etc
 
funga bakuli lako pimbi wewe

Kafiri mkubwa wee, Tena unyamaze wala tusikuone tena hapa !! Kwenda ukafie na ukafiri wako hukoo!

Kazi kwelimweli, hivi matusi haya si yanafuta thawabu zote za kufunga

baba ako anavumilika?We kafiri fumba kipumulio chako.We napolic wate mnago... -------.

Ujumbe wangu kwenu ni huu.....

Walah kwa matusi haya Mtaiona Firdaus inshallah


Naongezea, WAISLAM HAWA NDIO MFANO HALISI WA UISLAM HASA UKIZINGATIA NI SIKU MBILI TU ZIMEPITA TANGU WAMALIZE MFUNGO?
 
Ujumbe wangu kwenu ni huu.....




Naongezea, WAISLAM HAWA NDIO MFANO HALISI WA UISLAM HASA UKIZINGATIA NI SIKU MBILI TU ZIMEPITA TANGU WAMALIZE MFUNGO?
Mkuu plz.be fair ! hukuweka comments zilizowasukuma wachangiaji
kukupa radhii ! Usijisafishe maovu yako kwa mgongo wa saumu (mfungo) Al-hamdillah tunashukuru kuwa WAISILAAM na kuwa tumetimza ibadaa ya kufunga Mwezi mtukufu wa ramadhani "imanan wa iHtisaba" hilo moja PERFECT.
La pili. usifikiri uje nakebehi zako na kejeli zako, utanyamaziwa au yatapita olejojo Once ukidharau! Ni hapo hapo utapata majibu stahiki na pengine LUGHA kali zaidi (Severe) Kwa hiyo jiheshimu uheshimike.

Kuwa muungwana
 
Mnaomtetea Ponda wote akili zenu zimebunguliwa na mdudu aitwaye UDINI. Ponda hastahili hata kuitwa sheikh. Huyo ni baladhuli mkubwa anayeivuruga amani ya nchi hii. Hakuna haja ya kumpa masikio yetu mtu anayetolea dukuduku lake misikitini. Hata kama nia yake ni njema bado kwa njia anayotumia inaleta mashaka. Ponda hana tofauti na makaburu wa afrika kusini waliotumia rangi kueneza ubaguzi, huyu Ponda anatumia udini. IGP mwema tuma vijana wako wakamate mbaguzi huyu. Ni bora mtu mmoja akafa walio wengi wakaishi kwa amani, badala ya mtu mmoja kuachwa akisambaza sumu ya ubaguzi wa kidini kama Ponda.
The man (tamko lako lilisikilizwa na IGP wako akatekeleza) lakini mkono wa Mwenyezi mungu ulimsaidia kiumbe chake.......MunguWeee Ulimwengu wote umeshuhudia tukio na Majeraha yaliyo sababishwa na RISASI ZA MOTO aina ya Kalibari 4.5" Risasi ambayo inaweza kuuwa TEMBO wawili na NYATI mmoja Risasi hiyo ilipasua bega la Masikini shehe Ponda Issa Ponda mtetezi wa haki za masikini na wanyonge.!! akiwa katika mazungumzo ya mkusanyiko huru wenye kibali maaalum, hakuwa hata amebeba kinga, Lakini ya Mungu mengi !! kanusurika.
Mr.mwanaume kuwa muungwana and be fair or speek the truth.
Duniani wapo mashupavu,free speakers,hardliners,revelutioners nk. je hao wote wakamatwe ?
 
ni kheri.afe mmoja ili milion 44 waliobaki waishi kwa.amani...
mombasa na pwani ya.kenya sasa hv.shwariiiiiiii.baada ya abood rogo kwenda kuzimu.
 
Ponda anasema: " watu wote wasio waislamu ni makafiri, na makafiri lazima wauawe ili dola ya kiislamu isimame, na ukiua kafiri unapata dhawabu"



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mahubiri ya namna hiyo tuyakatae,kwa nguvu zote!!
 
Ushukuru hao snipers wako wamekosea shabaha maana wangetimiza lengo moto ambao ungewashwa mpaka sasa hata huo muda ulioutumia kubonyeza keyboard au kamchina kako usingeupata. Fahamu kuwa kuna waislamu zaidi ya 3/4 nchini wanaomkubari na kumuunga mkono Ponda idadi ambayo ni kubwa kuliko wapiga kura waliomuweka JK madarakani au kura zota za JK na Slaa. Usidhani kuwa hayo mabomu ya machozi yanayobebwa na vibaraka FFU yanaweza kukuhakikishia amani kama watu watakuwa fade up na kuamua "kama mbwai na iwe mbwai" kumbuka sakata la Mwembe chai vituo vingi vya polisi maeneo ya Manzese, Mburahati, Tandale na Kiduka vilivamiwa na polisi walikula chochoro. Sipendezwi na tabia ya Ponda kuvunja sharia kila siku tena kwa makusudi lakini kauli za kishabiki kama zako zitaliangamiza taifa, polisi wanapaswa watumie busara kushughulika na waalifu sio kukurupuka tu kisa Pinda kawaruhusu.

....aaaahhh jombaaa ya kweli hayo...? mbona sikuile kariakoo zilipita gari za jeshi tu bila kufanya kitu chochote mkaanza kuimba pambio, eti Bwana asifiweeee...!! ameeen wakati mwanzo mlikuwa manahimizana takbarii, lianzisheni basi tuone kama kweli mnayaweza, vinginevyo maneno tu hata kwenye kanga yapo tele,usituletee ujinga wa majimaji war hapa....
 
Hamna mwenye uwezo wa kulianzisha, alianzishe na polisi au kama kawaida yao ya kuchoma makanisa.
 
ponda apondwa, pole sana shehe ponda, mungu atakusaidia,
 
Back
Top Bottom