Mkuu km kweli za kuambiwa unachanganya na zako basi utajua kuwa mfumo kristo hauziiliki kwani upo kila mahali.....upo misri. Syria, iraq, afghanistan, tunisia, somalia ndo maana wanachinjana kwa sbb ya kudai haki ili mfumo kristo uondoke......
Changanya na zako mkuu
Shirikisha ubongo..
Mkuu km kweli za kuambiwa unachanganya na zako basi utajua kuwa mfumo kristo hauziiliki kwani upo kila mahali.....upo misri. Syria, iraq, afghanistan, tunisia, somalia ndo maana wanachinjana kwa sbb ya kudai haki ili mfumo kristo uondoke......
Changanya na zako mkuu
Lakini si amepigwa risasi na askari wa IGP SAID MWEMA ambaye ni mteule wa ustaadh Mrisho Jakaya Kikwete? Sasa mfumo kristo unakujaje hapo?
Ni bora afe tu ili mambo ya udini tusiyasikie tena!!
unaufahamu mdogo wa mambo inaonyesha
Mkuu naona suala la wake wengi na watoto limekukaa kweli! waacheni waislam waijaze dunia, nyinyi zaeni mmoja tu au ikiwezekana msizae kabisa, ili muweze kuishi maisha mnayoweza kujipangia wenyewe!!
Tunashukuru kwa taarifa, nina imani wahusika wameipata.Msijidanganye tatizo sio Ponda bali ni mfumo, usipoangaliwa ata yeye akifa tayari kuna PONDA mia moja wapo tayari na heri huyu anatumia njia za kidiplomasia.
Hilo ndiyo jukwaa gani?Home of stupid thinker is full of abusive words
Msijidanganye tatizo sio Ponda bali ni mfumo, usipoangaliwa ata yeye akifa tayari kuna PONDA mia moja wapo tayari na heri huyu anatumia njia za kidiplomasia.
Mkuu Facilitator hata mimi nimesoma kuanzia O-LEVEL, A-LEVEL mpaka Chuo Kikuu na waislamu tena walikuwa na uwezo mkubwa sana darasani kitaaluma na kihekima. Mpaka hata wasiokuwa waislamu walitamani kwenda kwenye ibada za waislamu wakati wa vipindi vya dini na waislamu walikuwa wakiingia kwenye madarasa ya wakiristo wakati wa vipindi vya dini. Sio kwamba wakati huo hakukuwa na changamoto lakini zilikuwa zikitokea zinamalizwa kwa kukaa na kuzungumza pamoja na kutatuliwa.Acha kujitoa ufahamu wewe. Ninafanya kazi kwenye taasisi moja iliyo chini ya Ubalozi wa GERMANY. Mkurugenzi wetu wa fedha na utawala ni MUISLAM, tena swala 5. Ni mtu VERY INTELLIGENT na ana hofu ya Allah kiukweli. Tabia na mwenendo wake unamtia hamu kila mtu kuwa Muislam. Na wengi tunajifunza kwake (hata wasio waislamu)
Nimekupa tu sifa ya Waislam safi, wanaojitambua.. Kinyume chake, ndo nyie magaidi, maswahiba wa ponda.
Popote penye dhulma alafu kukiwa na waislam hapawezi kuwa na amani.
Kwa maoni haya, sipati picha ikitokea laana ya CDU kushika madaraka! Nadhani waislamu watakimbia nchi!