Myanguneni
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 1,192
- 277
Pondaaaaa, ukishapona karibu SHULE. Soma kidogo tu walau mpaka Form 4 upate akili na umaana wa kile unachokipigania. Ni kama bado upo gizani vile!
Mbaya zaidi mhuni yuleyule mwenye elimu na akili zilezile anawahutubia watu walewale wenye akili zilezile na elimu ileile ya kahawa na soga,,, kwa njia ya kuwajaza upepo
Mambo yau msingi unayajua wewe!?
Mkuu naona suala la wake wengi na watoto limekukaa kweli! waacheni waislam waijaze dunia, nyinyi zaeni mmoja tu au ikiwezekana msizae kabisa, ili muweze kuishi maisha mnayoweza kujipangia wenyewe!!
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka
Hivi nyie mnanposema kusoma mna maanaisha kufika chuo na kupata vyeti au kutumia elimu aliyopata mtu kuboresha mazingira/ maisha ya watanzania ? mbona hao hao wanaoitwa wasomi leo hii ndio wanaovaa kata k, wanadada ndio wanatembea chupi nje ,wanatofauti gani hao na wale darasa la sababwanaojitambua?.
mf wewe unayejiita msomi umeitumiaje elimu yako kama sio kusubiri kupata ajira kwa serikali ama wahindi? kwa coment zako tu unaonekana huna cha usomi wala nini tena hata kama unadai unautete ukristo ni bure kwa sababu ukristo unahubiri kuwapenda hata maadui wako sasa kama Ponda ni adui kwa mtazamo wako ndio unapaswa kumpenda ili aone jinsi ukristo ulivyo mzuri...
ye si anataka nchi ichafuke? basi ameonja chungu ya machafuko, natumaini akipona attaacha ujinga wake
Mgawa riziki ni mmoja tu, kwa waja zinapitia tu, unaweza ukazaa mmoja ukashindwa kumuhudumia, au ukawa na kila uwezo wa kumuhudumia lakini akawa muhuni mvuta unga, malaya n.k. haya mambo bwana yako beyond of our thinking!!Endeleeni kuzaa hata laki 1, mkishindwa kuwapa elimu msibebe majambia na kupambana na mamlaka ya nchi!
Hili neno la mfumo kristu limekuwa likitumiwa sana na waislamu kuonyesha kwamba nchi yetu inatawaliwa kikristu kitu ambacho si kweli.Sasa kama nchi hii imejengwa katika mfumo wa kikristu,mbona leo hii kuanzia visiwani mpaka bara watawala wa nchi ni waislamu wote kuanzia rais mpaka makamu wa rais?mnashindwa nini kuifanya nchi iwe ya mfumo islamu iliali kwa sasa inatawaliwa na waislamu?.Nijuavyo mimi nchi yetu tangu uhuru watu wa dini zote wamekuwa wakipewa madaraka,wakati wa Mwl.Nyerere Ndugu Rashid Kawawa alikuwa makamu wa rais na baadae waziri mkuu,najua waislamu wengi huwa wanamlaumu mwl.Nyerere kwa kujenga huo mfumo kristu wa kufikirika,sasa kama kweli Mwl.nyerere alikuwa mdini ni kwa vipi alimuamini Kawawa na kumpa umakamu iliali kulikuwa na wakristo wengi tu wa kushika wadhifa huo?nchi yetu imekuwa na cultural balance tangu uhuru mpaka sasa,hivi wenzetu waislamu hamuoni Kenya na Uganda kuna waislamu lakini sijawahi kuona na wala kusikia muislamu ameshika madaraka ya juu ya nchi ukilinganisha na Tanzania.Je,mpaka hapo mfumo kristu uko wapi Kenya na Uganda au Tanzania?Ndugu waislamu acheni siasa za kibaguzi zitatufikisha kubaya,wakristo wakiamua kutawala nchi hii peke yao wanaweza kwasababu ya wingi wao kama wafanyavyo majirani zetu lakini sisi watanzania taifa letu halikujengwa katika misingi ya ubaguzi bali lilijengwa katika misingi ya usawa na ndio maana siasa ya nchi yetu ipo unique ukilinganisha na chi kama Misri na Nigeria ambapo watu wapo bize kugombea madaraka kwa misingi ya udini.Labda niseme kwa kitu ambacho waislamu wa tanzania hatujakijua ni kwamba ndani ya dini zetu hizi mmbili yaani Uilamu na Ukristo pia kuna udini ndani yake,yaani katika Ukristo kuna matabaka pia,wamo WASABATO,WAPENTECOSTE,WAKATOLIKI,WALUTHERI n.k na katika uislamu pia kuna matabaka pia.Kwaiyo tukitaka tuachie hii dhana ya udini kama ndiyo dira ya kouongoza nchi hatutafika tuendako kamwe ndugu watanzania.Utafanyika uchaguzi leo baada ya kinyang'anyiro kikali,atimaye atashinda mkatoliki,mkumbuke lawama zitakuja tena kwanini sisi WASABATO tutawaliwe na MKATOLIKI na vilevile kwa waislamu akishinda MSHIA,WASUNI watasema aaaah....haiwezekani tutawaliwaje na MSHIA.Kwaiyo ndugu zangu waislamu mliomezeshwa mambo ya mfumo ukristu fikirika tambuaeni kwamba hakuna nadharia iyo kwenye nchi yetu,kuna wajinga wachache ndiyo wanaotaka tuamiani ivyo ili nchi yetu iingie kwenye machafuko.Najua kuna madai mengi ambayo waislamu wanayadai kwa serikali ya CCM lakini kinachotakiwa ni kujenga hoja zitakazoishawishi serikali kukubaliana na hoja zenu na katu si kuingiza mambo ya udini inapoonekana hoja zenu zimeshindwa kuishawishi serikali.Inshort,my fellow Tanzania wether you are muslim or christian let us join our forces to protect our MAMALAND Tanzania by ensuring peace, harmony and tranguility prevail for the betterment of our future generation,yes we have different religious ideologies but we are all tanzanian,so let each one of us ensure that we leave this country peaceful as our forefathers did to us all who live in today.udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka
Apelekwe India au SA & alipiwe na serikali (lisije tokea la kutokea). Huyu ni VIP kwa watu wengi tu na pia ni high value criminal ..Kwa mujibu wa ndugu wa karibu, kutokana na jeraha hilo la risasi alilonalo kiongozi huyo, hekaheka alizozipata siku hiyo zilisababisha atoneshe kidonda na kumfanya ashindwe kusimama wala kulala hadi familia kufikia hatua ya kuomba arudishwe Hospitali ya Muhimbili katika kitengo cha mifupa (Moi) kwa matibabu zaidi.
Kiukweli hali ni mbaya, wamempeleka harakaharaka tena ghafla, matokeo yake wamemtonesha kidonda. Tunaomba wamrudishe tena Moi (Muhimbili), alisema mmoja wa ndugu wa familia aliyeomba hifadhi ya jina.
Ukristo hautetewi unatutetea, na unajitetea maana kristo yupo hai.
na hapo uadui umeingiaje wakati niushauri wa kusoma ametoa,
Mtu akikuambia ukasome anakuwa adui yako?
Hili neno la mfumo kristu limekuwa likitumiwa sana na waislamu kuonyesha kwamba nchi yetu inatawaliwa kikristu kitu ambacho si kweli.Sasa kama nchi hii imejengwa katika mfumo wa kikristu,mbona leo hii kuanzia visiwani mpaka bara watawala wa nchi ni waislamu wote kuanzia rais mpaka makamu wa rais?mnashindwa nini kuifanya nchi iwe ya mfumo islamu iliali kwa sasa inatawaliwa na waislamu?.Nijuavyo mimi nchi yetu tangu uhuru watu wa dini zote wamekuwa wakipewa madaraka,wakati wa Mwl.Nyerere Ndugu Rashid Kawawa alikuwa makamu wa rais na baadae waziri mkuu,najua waislamu wengi huwa wanamlaumu mwl.Nyerere kwa kujenga huo mfumo kristu wa kufikirika,sasa kama kweli Mwl.nyerere alikuwa mdini ni kwa vipi alimuamini Kawawa na kumpa umakamu iliali kulikuwa na wakristo wengi tu wa kushika wadhifa huo?nchi yetu imekuwa na cultural balance tangu uhuru mpaka sasa,hivi wenzetu waislamu hamuoni Kenya na Uganda kuna waislamu lakini sijawahi kuona na wala kusikia muislamu ameshika madaraka ya juu ya nchi ukilinganisha na Tanzania.Je,mpaka hapo mfumo kristu uko wapi Kenya na Uganda au Tanzania?Ndugu waislamu acheni siasa za kibaguzi zitatufikisha kubaya,wakristo wakiamua kutawala nchi hii peke yao wanaweza kwasababu ya wingi wao kama wafanyavyo majirani zetu lakini sisi watanzania taifa letu halikujengwa katika misingi ya ubaguzi bali lilijengwa katika misingi ya usawa na ndio maana siasa ya nchi yetu ipo unique ukilinganisha na chi kama Misri na Nigeria ambapo watu wapo bize kugombea madaraka kwa misingi ya udini.Labda niseme kwa kitu ambacho waislamu wa tanzania hatujakijua ni kwamba ndani ya dini zetu hizi mmbili yaani Uilamu na Ukristo pia kuna udini ndani yake,yaani katika Ukristo kuna matabaka pia,wamo WASABATO,WAPENTECOSTE,WAKATOLIKI,WALUTHERI n.k na katika uislamu pia kuna matabaka pia.Kwaiyo tukitaka tuachie hii dhana ya udini kama ndiyo dira ya kouongoza nchi hatutafika tuendako kamwe ndugu watanzania.Utafanyika uchaguzi leo baada ya kinyang'anyiro kikali,atimaye atashinda mkatoliki,mkumbuke lawama zitakuja tena kwanini sisi WASABATO tutawaliwe na MKATOLIKI na vilevile kwa waislamu akishinda MSHIA,WASUNI watasema aaaah....haiwezekani tutawaliwaje na MSHIA.Kwaiyo ndugu zangu waislamu mliomezeshwa mambo ya mfumo ukristu fikirika tambuaeni kwamba hakuna nadharia iyo kwenye nchi yetu,kuna wajinga wachache ndiyo wanaotaka tuamiani ivyo ili nchi yetu iingie kwenye machafuko.Najua kuna madai mengi ambayo waislamu wanayadai kwa serikali ya CCM lakini kinachotakiwa ni kujenga hoja zitakazoishawishi serikali kukubaliana na hoja zenu na katu si kuingiza mambo ya udini inapoonekana hoja zenu zimeshindwa kuishawishi serikali.Inshort,my fellow Tanzania wether you are muslim or christian let us join our forces to protect our MAMALAND Tanzania by ensuring peace, harmony and tranguility prevail for the betterment of our future generation,yes we have different religious ideologies but we are all tanzanian,so let each one of us ensure that we leave this country peaceful as our forefathers did to us all who live in today.
Mimi Binafsi yangu ninamuombea Afya Sheikh Ponda na uzima ila atakapo toka ajirekebishe
mazungumzo yake asitumie
Udini kuwapiga vita wasiokuwa katika dini yake atumie njia za haki kudai anachotaka toka
Serikalini. Yeye Sheikh Ponda ni Kiongozi wa Ki dini awe mfano mzuri kwa Wenzake.
Ningependa Ndugu
zangu Waislam na ndugu zangu Wakristo wote hapa nchini tuwe kitu kimoja tuache Tofauti zetu za Ki
Dini na imani. Kila
mmoja wetu ajaribu kuheshimu dini ya Mwenzake Wa-Tanzania sisi sote ni ndugu, Tupige Vita
Umasikini,Rushwa,
Magendo,Ufisadi,Maradhi,njaa na Madawa ya kulevya tuwe kitu kimoja jamani Waislam
waache waende kufanya ibada
yao Misikitini na Wakristo waache waende kufanya ibada zao Makanisani Aluta continua
Asanteni. Nawapendeni nyote muliochangia Thread yangu asanteni.
... Ila kwa sasa waisilamu wanastarehe, kama anavyostarehe Ponda !!Kwa maoni haya, sipati picha ikitokea laana ya CDU kushika madaraka! Nadhani waislamu watakimbia nchi!