Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Ndio mchezo unaofanyiwa wewe,mbona wautaja taja.kama wafanyiwa wewe wafikiri kila mtu pia anafanyiwa kama ww,pambafu mkubwa.angetoneshwa hapo chini ya mgongo, kw ile njia ya vima.. pambaaaf.
Kama ulivyo wewe mjingaye si anataka nchi ichafuke? basi ameonja chungu ya machafuko, natumaini akipona attaacha ujinga wake
Watakimbia waoKwa maoni haya, sipati picha ikitokea laana ya CDU kushika madaraka! Nadhani waislamu watakimbia nchi!
Uko Ireland ya kaskazini,upo Liberia,upo sieraleone,upo kongo,upo sudan kusini,uko Rwanda,Uko Timori ya mashariki,Upo Madagaska nkMkuu km kweli za kuambiwa unachanganya na zako basi utajua kuwa mfumo kristo hauziiliki kwani upo kila mahali.....upo misri. Syria, iraq, afghanistan, tunisia, somalia ndo maana wanachinjana kwa sbb ya kudai haki ili mfumo kristo uondoke......
Changanya na zako mkuu
Hakuna atakayebaki hata wewe pia utakufa.
Kauli kama hizo hapo kwenye bold ndizo zinazowatia waislam hasira na kuona kwamba labda mfumo ulioundwa ndio uliosababisha haya yote hadi kufikia hatua ya kubezwa! Sisi wote ni watanzania hakuna haja ya kubezana, aliebahatika kusoma atumie elimu yake kuliendeleza taifa na kuandaa mipango ya kuwafanya watanzania wengi zaidi wapate nafasi za kusoma bila ubaguzi wa dini kabila au majimbo! Jamii forum members hebu tuweni na hekima tusiwe kama wale wanaokaa vijiweni kuvuta sigara na bangi...mfumo kristo ni hofu yenu nyie mliokimbia kusoma na msiotaka kufanya kazi. anayewapandikizia hyo sumu ndo huyo ponda ambaye kaishia la 7. waislamu wenye bidii na kujitambua wamefanikiwa bila kusubiri kubebwa na kuzawadiwa vyeo.
Jitambue..
Uko Ireland ya kaskazini,upo Liberia,upo sieraleone,upo kongo,upo sudan kusini,uko Rwanda,Uko Timori ya mashariki,Upo Madagaska nk
Uko Ireland ya kaskazini,upo Liberia,upo sieraleone,upo kongo,upo sudan kusini,uko Rwanda,Uko Timori ya mashariki,Upo Madagaska nk,QUOTE]
Unavoandika inaonekana km vile upo kwenye.cku zako au.umejinyea baada ya..........
Ponudaaaaa, ukishapona karibu SHULE. Soma kidogo tu walau mpaka Form 4 upate akili na umaana wa kile unachokipigania. Ni kama bado upo gizani vile!
Ni bora afe tu ili mambo ya udini tusiyasikie tena!!
Mimi ni mtoto wa Sheikh Ponda siku akifa baba yako nami nitafurahi sana na kupiga takibiru.Ni bora afe tu ili mambo ya udini tusiyasikie tena!!