Andrew abel
Member
- Dec 6, 2012
- 49
- 4
hivi tutaacha pombe kweli??!..maana sasa ni full kujiachia wINE mpaka sh.600 !!..burudani!

Mi nimefanikiwa kuacha
Siku hizi ni mwendo wa Fanta tu.
Ahahaaa fanta ya orange au nyeusi? ya baridii au ya moto?
Yah unajua hakuna faida ya pombe zaidi ya kuamka umechoka na huna hamuya kila kitu
Kama Mungu aishivyo (na naomba anisamehe kama nimelitaja jina lake, bure) na kwa nguvu ya jina lake na kwa Yesu Kristo mwana wake sitakunywa tena pombe katika uhai wangu alioniahidi hapa duniani (ambao ni at least 70 years with a maximum of 120)
Mi nimefanikiwa kuacha
Siku hizi ni mwendo wa Fanta tu.
Jamani tusidanganyane hapa hakuna mtu asiyependa POmbe nikutokana na maradhi pengine hali ya uchumi pia....binafsi sijafikiria kuacha kunywa mululu labda kiwanda kiache production Asanteni
Tell emUlimsikia nani kaacha pombe?? Sema unapumzia au mifuko ndo ishatoboka..mwezi wa kwanza huu!!
Sent from my BlackBerry 980y0 using JamiiForums
Kama Mungu aishivyo (na naomba anisamehe kama nimelitaja jina lake, bure) na kwa nguvu ya jina lake na kwa Yesu Kristo mwana wake sitakunywa tena pombe katika uhai wangu alioniahidi hapa duniani (ambao ni at least 70 years with a maximum of 120)
Ukiona pombe zinakushinda...kunywa maji ya kisima
Nyeusi haitofautiani na ndovu..kitu Orange