Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,986
- 168,517
Taifa letu la viroba.
Mwalimu kabla ya kuingia anapiga viloba, madenti nao ni mwendo wa viloba.
Madaktari kabla ya kutibu wanapiga viloba, na wagonjwa nao wanapiga viloba ili kupata ganzi mbadala.
Mapolithi nao wanapiga viloba ndo maana wanafyatua hovyo.
Bungeni ndio hakukaliki, kila mbunge anaingia akiwa amepiga viloba
Wabongo kwa pombe!!!
Acha kuniiga wewe!Mie mwenyewe uwa nikipiga viroba ndo zinakuja idea kibao za kupost humu...
Viroba Hoooyeeee..!!
Em kwanza nikimbilie cha konyag...
Acha kuniiga wewe!
Hapa sijapata kiloba ndio maana nime- reply.
Ningekua nimepata japo 6 ningepost idea yangu