leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,353
- 17,021
huwa siingii pm una lolote tumalizane hapa.Sema kule kwa Pm hukujibu
huwa siingii pm una lolote tumalizane hapa.Sema kule kwa Pm hukujibu
Mbona nimesoma na sijaelewa au na mimi nimelewa 😂Majuzi nimepata mchuchu , nimelipa chumba nikawambia atangulie na pesa yote atakayo tumia nimelipa 😪
Nikasema nitqpitia club hapo alipo,nilijibusti na pombe zangu ndio nimeshuka hapa , kapiga simu , namuulizia atume picha yake ,naona ananisunya😄😆 acha nilewe tu bwashee 😁
Nimelewa ndiyo ila siyo pombeUmelewa kama mimi😅
Mtandao gani huu, Sema nini tumsubiri Benfica kuna Ligi ya Portugal anaweza shinda ikawa shangwe humu😂22652590 hiyo hapo fanya jambo
Dada wa leo kumbe na wewe korofi😅pm bila hela ni mwandiko wa bata
Tigo,, naombea mkeka utiki msg iingieMtandao gani huu, Sema nini tumsubiri Benfica kuna Ligi ya Portugal anaweza shinda ikawa shangwe humu😂
Oa Acha uzinzi kijanaMajuzi nimepata mchuchu , nimelipa chumba nikamwambia atangulie na pesa yote atakayo tumia nimelipa 😪
Nikasema nipitie club, atulie hapo alipo,nijibusti na pombe zangu ndio nimeshtuka hapa , kapiga simu , nikamwambia atume picha yake ,simkumbuki tena ,naona ananisunya😄😆 acha nilewe tu bwashee 😁