Pombe,sigara na ukahaba ni marufuku Zanzibar!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pombe,sigara na ukahaba ni marufuku Zanzibar!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kadogoo, Oct 15, 2012.

 1. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkuu una hakika pombe ndio chanzo cha UKIMWI?
  Any data to support your conclusion?

  Kwa tarifa yako, Serikali ya kikwete wala hata ingekuwa na Kamanda wenu PONDA haina ubavu wa kupiga marufuku pombe na sigara.
  Kama wewe ni mtu makini, fanya uchunguzi uone pombe na sigara zinaleta kodi kiasi gani?
  Kuna watu wangapi wameajiriwa kwenye hizo sectors?

  Then, bring this thread again....
   
 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  hichi kimtandao ndio equivalent ya JF kwa wajinga wa zanzibar.Mbona sasa hamjakumbusha madawa ya kulevya?Uzinzi wa kuibiana wake?ushoga na ngoma zao zichezwazo kule visiwani?

  Kwa taarifa yenu Iran ,afghanistai, pakistani ,lebanon, syria, Turkey ,azerbaijan ,somalia na kwingineko ktk dunia ya kiislam Tumbaku hutumiwa sana kuliko nchi nyingine duniani.Wao hutumia tumbaku kama sigara, cigar, ugoro au hata gozi la kusokota kwa makaratasi wasiojua hata yana chemical gani ili mradi linafaa sokotea.Wanawake wa kiislam ni wengi sana wanavuta sigara kuliko hata makafiri wa nchi nyingi sana zenye michanganyiko ya waislam na wengine.

  mbona hawajasemea ndoa za muttah,zinazoruhusu waislam kupeta na mademu kadhaa kwa makta hata wa nusu saa.Huo si umalaya biashara ya umalaya.Muslims na ngono ni ulimi na mdomo.Watabakiw akisingizia kuwa jamaa wanaitumia vibaya hiyo sheria ila wmisho wa siku watu watachukua mayalaya kwa kufunga ndoa ya fasta na kwenda kuchapana kwa malipo madogo halafu wanaachana kwa kitalaka cha fasta.Kweli hii dini ya allaha ni chocho la shetani.
   
 4. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Asema pia waarabu wasipewe visa za kuja kufanya uzinzi wao pale Kibo Palace Arusha.
   
 5. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ubakaji na ulawiti mbona vinashamiri.
   
 6. M

  Mwalufunamba JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hammada atakubali?
   
 7. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mbona nyie wazanzibari mnaongoza kwa kwa ule mchezo wa sodama na gomora au huo kwenu ni halali?
   
 8. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Tena wakae kimya kwa maana hata viongozi wao wakubwa wa serikali ndio vinala wa mchezo huo!
  wakae kimya kabisa!
   
 9. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  bange, unga na Mirungi ni halali kwao...
   
 10. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Wanafiki wakubwa hao wakaanze na AMANI A KARUME halafu wakimaliza waje wamchukue yule mtoto wake wakili uku bara hatutaki izo sigara kubwa uku.
   
 11. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wewe parata wa chooni acha kutukana dini za watu
   
 12. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ikija na huku ita-shake tax base ya serikali dhaifu..iishie Chumbe.
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ushoga ruksa.
   
 14. m

  muislamsafi Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  miaka fulani ya nyuma niliwai soma na mtoto mmoja wa mzee Basha, aliwahi kuwa muwakilishi ndani ya baraza la wawakilishi na pia nimeishi kidogo na familia ya mzee basha na kina muhamed na kaka zake wa port pale, kwahiyo naelewa zanzibari vizuri
  uchafu ambao sijauona zanzibar mtaani ni kula kitimoto hadharani tu. lakini pombe sigara malaya na mashoga siwezi kuviesabu kwani vimezidi na kupindukia zanzibari
  .na ndio maana nauislamu wangu wote hijabu huwa linanitia kichefuchefu sababu wanaharamu wale hawavai zaidi ya bikini na wako wasio vaa hata iyo bikini wakuta hijabu likiguswa na upepo kidogo kwa nyuma waona tak o kama lilivyo, nalikiguswa kwa mbele basi sehemu ya uke inajichora kamailivyo na wakifika fukweni mbali na mji vichaka minazi na maji vyote hivi vingelikuwa vinaongea vingesema ni jinsi gani wazanzibari wanachafuana humo bila aibu. nimehudhuria sana ngoma za ufukweni wenyewe wanakuita shamba wanatoka nje kidogo ya mji. kwa hiyo mtu yeyote asije isifia zanzibari UGINGA
  by muislam safi
   
 15. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  kweli nyinyi wadanganyika ni kichwa kitupu ndio mana mnashindwa kudai uwepo ya nchi yenu hivi sheria imepitishwa z'bar nyinyi inakuumeni nini si fanyeni yenu kama hamna nendeni kajengeni makanisa yalio bomolewa huko mbagala
   
 16. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Kwa ukahaba inawezekana ila sigara na pombe ni ngumu sana. Nmekaa sana z'bar pombe n sigara inauzwa sana.. Nilipata shida sana siku za mwanzo lkn baadae nkajua njia za kupata mzigo tena bila ya zengwe. Kwa kuwa baa raia wanazingua sana bia zinauzwa sana ktk nyumba za watu. Unazama chumbani unakula mambo then unachomoka zako. Kama wakitaka wazuie waweke mtandao mkubwa sana bandarini malindi n pembezoni otherwise watakuwa wanacheza 2! Na kuna supplier mkubwa sana wa pombe pale darajani nyuma ya soko karibu na masomo bookshop. Wamfutie leseni kwanza yule.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 17. v

  valid statement JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Nadhan ni wiki iliopita kituo cha television cha Aljezeera walionyesha kiasi gani zanzibar wanautumiaji NA uingizwaji mkubwa sana wa madawa ya kulevya.

  Hilo hawajaliona?
   
 18. D

  Dr.Who Senior Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wabara sasa wataanza kurudi makwao dooooo!!!! nchi haifai tena na makanisa tunafunga
   
 19. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,695
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Zanzibar ni nchi na ina utamaduni wake kwa JK walevi ndo wanaendesha nchi
   
 20. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ...........naona Wagalatia mmetoneswa ! maana kama kidonda kimedonolewa na kuku !
  mwaya anawadanganya.........endeleeni kulewa na msisahau....DUME !!!!!!!
   
Loading...