Pombe na walevi

mutu mrefu

Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
92
Reaction score
23
Habari wa Jf mara nyingine ktk pitapita zangu nimebahatika kukaa vikao vingi bar nimegundua ya kuwa wanywaji wengi wa pombe huwa wanaenjoy sana wakutana na wakinywa pombe pamoja. Pombe na walevi, walevi na pombe imekaaje
 
Kama huwezi kula, funga! Pombe si juice tafuta maji unywe!
 
Habari wa Jf mara nyingine ktk pitapita zangu nimebahatika kukaa vikao vingi bar nimegundua ya kuwa wanywaji wengi wa pombe huwa wanaenjoy sana wakutana na wakinywa pombe pamoja. Pombe na walevi, walevi na pombe imekaaje

sijakuelewa unajua embu tolea ufafanuzi wa kina
 
Habari wa Jf mara nyingine ktk pitapita zangu nimebahatika kukaa vikao vingi bar nimegundua ya kuwa wanywaji wengi wa pombe huwa wanaenjoy sana wakutana na wakinywa pombe pamoja. Pombe na walevi, walevi na pombe imekaaje

Please rekebisha heading andika pombe na wanywaji:sly::beer::thumbup:😀
 
kama vile risasi nilishamaliza niko busy naua mende , pombe ni relaxant kama mtu uko unconfortable pombe inakuweka confortable.

raha ya pombe aijuae mnywaji , kama hujawahi kunywa kaa kimya usitokere wanywaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…