kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Duh! Wewe nomaKulala mtaroni usiku kucha.
😁😁😁wewe hutumiiNawakumbusha walevi, ukilewa usichat, usipige simu.
😁😁😁aisee ikawaje sasasMm nilivyokunywa nikaenda kudai kodi kwa mwenye nyumba 🔥
Pole sana mkuu hope umejifunza hutorudiaSikumbuki ugomvi ulianzaje ila nashangaa tu nilimng'ata baunsa wa ile bar..
nakuja kushituka nipo hospitali nina mabandeji, kuuliza nimefikaje kumbe kuna watu walirekodi video nzima ya kilichonikuta!. yule hakuwa baunsa tu ni jumong!.
Haha kilevi changu ni movies, football, na mbususuwewe hutumii
Hongera jiraniHahah dah! Kwa bahati mbaya sijawahi kuonja hata tone moja, pole jirani
😀
Na nini😁😁😁Haha kilevi changu ni movies, football, na mbususu
Ikabidi mwenye nyumba anifukuze mana zarangati nililolianzisha hy siku sio la kisport sport😁😁😁aisee ikawaje sasas
Pole sana aisee kweli Pombe nli hatariIkabidi mwenye nyumba anifukuze mana zarangati nililolianzisha hy siku sio la kisport sport
Mbaga your geniusMm nilivyokunywa nikaenda kudai kodi kwa mwenye nyumba 🔥