@Mshana Jr utadhani mzee kapigwa zongo ili akili ijichanganye.
Anachapia sio mchezo
Mungu yuko upande wa chadema uchaguzi huu.Kichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma.
Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekieli Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina LA mgombea wa CCM.
Hii inatokana na jina LA Wenje kumtesa moyoni.
Clip inafuata
Tumeshafanya yetu@Mshana Jr utadhani mzee kapigwa zongo ili akili ijichanganye.
Anachapia sio mchezo
Anamkumbuka 2015 kule mwanza....@Mshana Jr utadhani mzee kapigwa zongo ili akili ijichanganye.
Anachapia sio mchezo
Kichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma.
Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekieli Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina LA mgombea wa CCM.
Hii inatokana na jina LA Wenje kumtesa moyoni.
Clip inafuata
Unacheka eeh. Mbona hajaweka hiyo clip au ameenda kuitengeneza ndiyo alete? Sisi tulikuwa tunaangalia live pitia TBC1 hatukuona wala kusikia😂😂😂😂😂😂 maendeleo hayana chama
Vipi amekuwekea hiyo clip? Unadanganywa kirahisi hivyo!Sio bure anko karogwa 😂😂😂
Teh teh umekosa cha kuandika.Elezea hata kwa nini unadhani imetokea akataja jina kisha u-defend in "mbogamboga point of view"Asanteni sana Bavicha kwa kumfuatilia mheshimiwa Rais kila anapoenda
Hivi JPM alifika Rorya? Au mnatengeza propaganda za kitoto na kujiaibisha? Maana mmekuwa kama watoto.