Pombe (Kilevi) Kinamfanya mtu awe more romantic..!!!???

Pombe (Kilevi) Kinamfanya mtu awe more romantic..!!!???

Jamani mwenzenu ninywe kidogo tu kuondoa nishai utanipendaaa!!!!! Kwanza kaka yangu anagoma kusinzia anasimama wima mpaka lyamba lya mfipa
hahah hiyo lazima itakua spirit mkuu
 
Unjua pombe ni wew mwenyewe na akili zako utakavyoamua ikupuleke ndio itakavyokupeleka
 
Kitabu cha Yoshua bin Sira (31:27-29) kinasema: ”Kwa wanadamu mvinyo ni kama maji ya uzima, ukinywa kwa kiasi. Je, anao uzima gani mtu asiye na mvinyo? Nayo imeumbwa ili kuwafurahisha wanadamu. Mvinyo ni furaha ya moyo na changamko ya roho, ikinywewa kwa wakati wake na ya kutosha. Lakini kunywa mno ni uchungu wa roho, na fedheha, na ugomvi.”

Kumbe eeh!
 
noma au kero....yani binafsi usitegemee pombe inifanye romantic.....
Labda hujapata chaguo sahihi..... Au kichwa yako haijazoea bado..... sio kero as siku ukikosa usingizi unatafuta hiyo kitu unagigigda weeeeeeeee then unajitupa kwa kitandani kama mfu
 
Labda hujapata chaguo sahihi..... Au kichwa yako haijazoea bado..... sio kero as siku ukikosa usingizi unatafuta hiyo kitu unagigigda weeeeeeeee then unajitupa kwa kitandani kama mfu

kweli kabisa .......nikiwa sitaki kuongea siku hiyo nagwida naenda zangu bed.....
 

Attachments

  • 220px-Amarula_(1563541954).jpg
    220px-Amarula_(1563541954).jpg
    14.3 KB · Views: 108
he he he i agree with you.....mpaka baby anadata kwa jinsi ninavyocare....hila nikipitiliza sasa....
 
That's true. If I want to do a crazy sex with my partner we normally take a drink.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom