daah itanichukua muda kukuelewesha kumbe. hivi bia na vodka zote ni pombe sio?Unaandika pombe afu eti kilevi, kuna pombe nyingine ni nini?
ni kweli mkuu!Nzuri lakini usiwe umekunywa sana
ka zanzi katamu hako mkuu!hata nikinywa Zanzi.............?
hahaha ni kweli mkuu!Jaman!
Ukipasua raha sana! Kama utaamua kumchana mtu lazima aisoume namba!
When it come to love, yani raha kwenda mbele! fullu mineno mitamu!
hahahahMi nasikia pombe eti zinakimbilia Bustani ya Eden, makao makuu ya Adam na Eva
Mara moja moja si mbaya..kidogo tu,daarh[/
inaelekea mkuu wee hua unatabasamu tu muda woote ukipata ka St Raphael kidogo
najikuta kama mspaniola vile kila saa niko 'te quiero mucho bebé, usted significa el mundo para mí'. nashindwa kuelewa the relationship between kilevi na a sense of romance, can it be scientifically explained? Mi sielewi.
Mwisho kabisa,nawapa flashback hapo chini, enjoy!
Ha ha ha hata ukinywa asubuhi?Mimi nikinywa nasikia usingizi na uwa sipendi kelele za aina yoyote....
Kwa hiyo ukilewa your favorite cd inakuwa empty cd
Ha ha ha hata ukinywa asubuhi?
hahaha si unajua mambo yetu mkuu!hahahahaaaaaaa....aaaah!! umeniacha hoi don...
mkuu lini twende tukanywe dompo? LOLMie nkinywaga Dompo ndo nalegea kila mahaliii kama mdoliii!kiunon ndo usisemebkhaaa
Kitabu cha Yoshua bin Sira (31:27-29) kinasema: "Kwa wanadamu mvinyo ni kama maji ya uzima, ukinywa kwa kiasi. Je, anao uzima gani mtu asiye na mvinyo? Nayo imeumbwa ili kuwafurahisha wanadamu. Mvinyo ni furaha ya moyo na changamko ya roho, ikinywewa kwa wakati wake na ya kutosha. Lakini kunywa mno ni uchungu wa roho, na fedheha, na ugomvi."Pombe ni dhambi jamani afu hivi pombe inafaida gani?