Pombe (Kilevi) Kinamfanya mtu awe more romantic..!!!???

Remy Martins is the best......

am more of hennessy guy
hennessy.gif
 
Salaam wakuu,
Before anyone starts casting stones on me, first of all i'd like to say i mean no offense for those who dont take no alcohol. Okay, from my personal experience wakuu mimi nikiwa nimeonja kidogo najikuta automatically na care sana, hata kama nilikua out of mood ni within seconds tu narudi katika hali sawa na hapo naweza kujikuta nimempigia mpenzi nikaongea nae kwa kirefu hadi ye mwenyewe akashangaa (unakuta labda nilimboa few minutes ago). Yaan kilevi ni kama kinastimulate my romantic side, ntaongea hapo ntampamba huyo bibiye mwisho wa siku hata kama tulikua tumekorofishana tunapatana tena na mpaka mwisho anaishia kucheka. Further more, hata yeye mwenyewe alishawahi kuniambia 'i like you more when you have drunk' coz hata ule useriousnessna ubandidu unapungua kidogo, najikuta kama mspaniola vile kila saa niko 'te quiero mucho bebé, usted significa el mundo para mí'. nashindwa kuelewa the relationship between kilevi na a sense of romance, can it be scientifically explained? Mi sielewi.
Mwisho kabisa,nawapa flashback hapo chini, enjoy!

Ndio maana wahudumu wa bar huwa hawana muda wa kuzoeana na wateja wasiotumia kilevi.

Ila nina swali moja, ili mkataba uwe halali lazima waliofunga mkataba wawe walikuwa na akili timamu, sasa mimba zinazopatikana kwa walevi wanaojamiana wakiwa walevi hoi uhalali wa kudaiana pesa za matunzo unatoka wapi?
 
Ulishawahi kujiuliza kuwa siku utakapokuwa apeche alolo full arosto huna hela ya kunywa hata bia moja let say kwa mfano kwa mda kama wa mwaka mzima hivi, huyu mpenzi wako hatma yenu itakuwaje na huo useriosness wako na ubandidu kwenye mapenzi?
TAFAKARI. CHUKUA HATUA.

NB: Ukisema hili jambo halipo basi jiandae. Linakuja.
 
Ndio maana wahudumu wa bar huwa hawana muda wa kuzoeana na wateja wasiotumia kilevi.

Ila nina swali moja, ili mkataba uwe halali lazima waliofunga mkataba wawe walikuwa na akili timamu, sasa mimba zinazopatikana kwa walevi wanaojamiana wakiwa walevi hoi uhalali wa kudaiana pesa za matunzo unatoka wapi?

Daah aisee kweli mkuu!
 
Ur right ila sio vinywaji vyote vinaleta romantic moods!
Jaribu banana uone yaani dakika mbili tuu utageuka Jetlee.
 
Kitabu cha Yoshua bin Sira (31:27-29) kinasema: ”Kwa wanadamu mvinyo ni kama maji ya uzima, ukinywa kwa kiasi. Je, anao uzima gani mtu asiye na mvinyo? Nayo imeumbwa ili kuwafurahisha wanadamu. Mvinyo ni furaha ya moyo na changamko ya roho, ikinywewa kwa wakati wake na ya kutosha. Lakini kunywa mno ni uchungu wa roho, na fedheha, na ugomvi.”

JF inamambo !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom