Uko kama mimi[emoji23]....yaan nisione stone tangawizi baridi, nadata..Pombe Soda Betting Papa Sigara Unga.....hivi vilevi acha si vya kugusa kabisa. Natamani kuacha soda nashindwa kila nikiiona kwenye fridge ikitoka jasho basi nahisi kama kutetemeka lazima ninywe Pepsi Bonge[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] hata sijui nataachaje
Hahaha..jmnOuw! Umemuacha tena[emoji86] [emoji86]
Jipe moyo,utayashindaC umenitolea nje! Umenipiga cha mbav! Umenimwaga mazima!![emoji16][emoji16][emoji16]
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Najitahidi kuacha kwa week,lkn narudi kwa kas sana,[emoji6] ..yani nikipita karibu na bar nasikia koo linawasha
Una familia? Kwa maana ya mke na mtoto/watoto30 yzr now
Alone mkuu,zamani nlikua mkemia mkuu..balimi,jibapa,henenga mnyama mkali,hakuna nisichokunywa..ila nowdayz napiga wine ila glass moja tu akili zinachange!
Mie mwenyewe cha pombe! sana nasikitika kuwa kuna mwanachama mwenzetu anateswa na pombe!!! hahahaahahahaahahNAHUJA njoo utoe ushauri hapa
Mie mwenyewe cha pombe! sana nasikitika kuwa kuna mwanachama mwenzetu anateswa na pombe!!! hahahaahahahaahah
Ajitahidi atazoea, asitoke chamani tafadhali. Avumilie tu mwanzo mgumu.๐๐nashangaa eti ka glass ka1 ka wine kanamuwehusha!
๐๐๐๐๐๐Ajitahidi atazoea, asitoke chamani tafadhali. Avumilie tu mwanzo mgumu.