NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,943
Cna campan mkuu,nikiwaza tu iyo kitu koo linawasha!Mkuu ukitaka kuacha pombe anza kutokunywa bia ya kwanza pamoja na marafiki atleast utapunguza mi nililuwa napiga mtungi ila now days nimepunguza naweza kukaa hata miez miwili imekuwa ni just occasion ila sio sehemu ya maisha
Alone mkuu,zamani nlikua mkemia mkuu..balimi,jibapa,henenga mnyama mkali,hakuna nisichokunywa..ila nowdayz napiga wine ila glass moja tu akili zinachange!Kwan huwa unakuwaga na Kampan au alone?, unakunywa bia gan?, Hapa nataka kujua ww ni mnywaj wa namna gan ili tujue nguvu tuwezeke wap kwenye kukushaur
AmenPeke yako huwezi. Utakaa hata miezi 3 bila kunywa ila ukirudi unarudi kwa speed ya ajabu tena mara 2. Jibu ni Yesu Kristo tu aingie maishani mwako. Yeye ndiye suluhisho la hilo pepo lako. Nenda kanisa la kiroho uokoke tu. 30 yrs ni kijana mno kufukuzwa kazi kwa ajili ya pombe ni mbaya sana
Bora betting na soda! Adha ya pombe isikie tu,kwanza asubuhi naamka na arosto..lzma nistue kimoja kwanzaPombe Soda Betting Papa Sigara Unga.....hivi vilevi acha si vya kugusa kabisa. Natamani kuacha soda nashindwa kila nikiiona kwenye fridge ikitoka jasho basi nahisi kama kutetemeka lazima ninywe Pepsi Bongehata sijui nataachaje
Mmmh.. hahaha.hpn alikuwa na shida flan flan bossShida gan bi dada?..alikua hatumikii mali vzr!
HahahahaKweli mkuu,hata mimi nimehisi ivo,anivute bas!
Ohoo! Basi nenda kwny maombi mkuu,ukijumlisha na dhamira uliyokuwa nayo najua lazma utaachaNipo single! Cna partner!! Wote wamenikimbia
Mbona umetoa mimacho hivyo mpk naogopa eti
Najitahidi kuacha kwa week,lkn narudi kwa kas sana,..yani nikipita karibu na bar nasikia koo linawasha
HaahaaaPombe isikie tu!! Ikiamua kukungangania ni noma! Inakuwa kama ina akili,ukisema unaacha,ukajitahidi kutulia siku mbili/tatu,spidi utakayorudi nayo ni ya hatari!
Ouw! Umemuacha tenaalikuwa na mazuri yake kwa kweli pia nilimpenda sana. lkn shida alikuwa nazo zilizopelekea kuachana ! Ila up to date ananishukuru sn kw kuweza kumsaidia kuacha pombe