Pombe inahujumu uchumi wa taifa

Pombe inahujumu uchumi wa taifa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1409476664576.jpg1409476685533.jpg pamoja na kuliingizia taiga maps to makubwa lakini pombe inalemaza na kuharibu malengo ya kizazi cha kesho Taifa linaangamia lakini nani wa kuchukua hatua?
 
Mkuu kila kitu kina faida na hasara zake na kitu chochote kikizidi kipimo lazima hasara zipatikane. Pombe n muhimu sana sio tu kwa burudani bali hata katika miili yetu kuna kiasi fulani cha pombe huwa kinahitajika ili mmeng'enyo uwe safi!! Tukiangalia swala la mapato ndiyo kabisa uchumi unafanya vizuri.
Usiangalie upande mmoja to, ubaya w kitu angalia pande zote, ubaya na izuri.
 
Back
Top Bottom