Pombe imevunja ndoa yangu

Tusimlaumu sana hakuna mwanamme mzuri, ndivyo Mungu alivyotuumba, cha msingi mkewe aonyeshe tu subira waanze upya maana hata kwa hilo tu sio mwisho wa matatizo kwenye ndoa, na naamini hata yy mwanamke ana mapungufu yake.
 
MPE mapesa na umuombe msmaha MTU akifumaniwa ni analipa fidia...joking Pambana na hali yako
 
Pombe ni kisingizio tu haiwezi vunja ndoa hata siku moja. Pombe iko kwenye chupa na wewe unainywa kuingia tumboni sasa hapo inawezaje kutoka upo ulipoimeza na kuvunja ndoa?. Ndoa umeivunja kwa akili yako mwenyewe. Tunasingizia sana vitu kama pombe, facebook, simu, WhatsApp na chuo kuwa vimevunja ndoa yangu, mie uwa najiuliza je hivyo vitu vimevunjaje ndoa yako kama sio wewe mwenyewe kuwa na tabia zisizofaa? Pombe inaonewa sana aisee
 
hahhahah..mkuu nimecheka sana
 
Inasikitisha sana...

Unakua mzembe hivyo...
Oops!umesema unakaa mkoani an siyo Dar, ndiyo maana basi...


Cc: mahondaw


stop this ideology Smart911 my king...

Kuna shogangu ilishawahi kumkuta kamfuma mumewe wakakaa kikao na wakubwa wa familia zao, ,,, saivi shogaaa ni mjamzito mimba ya pili

Kingine, Seems shogangu anampenda zaidi mwanaume na saivi wanafanya kazi mbali mbali ila wilaya moja... sasa shogake namie anataka kuacha kazi eti akamlinde mume binafsi kabla sijaenda mbali nilimwambia tu stupi.d kabisa wewe... ndo nikaongeeeeeeaaaaa kwa uchungu kama ndugu yangu vile



cc Smart911
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…