Pombe imevunja ndoa yangu

Mlokole anatakaje talaka kisa pombe tu? Kashindwa kukuombea ubadilike?
Labda kama sijasoma vizuri ila naona hapo kuna mahali kuandika alikuwa anapiga NYAPU. Naamini hilo ndio tatizo kubwa kuliko hiyo pombe
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama mbuyu au sindano?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acha kusingizia pombe[emoji57][emoji57] wewe ni nyegere zako ndo zimekuvunjia ndoa.
 
Reactions: BAK
nzuri hiyo nimeipenda minavyoonekana kuna vitu ulikua unakosea kwa mwenzako kavipta jaribu kujifunza kwa swala hilo

 
Ee sijajua yeye atanenepaje uelekeo wa kuwa mbuyu au wa kuwa sindano?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu uuuuwiiih
 
Hahahaaa!! Yaani nikisomaga comment zake naishia kucheka tu.
binafsi huwa namuonea huruma sana sana ! kumbe kunauma namna hyo !alafu bas bora mke apauke km wanavyowish !badala yake mke anang'aa tu ! anachana mby !lazima uumie ! hawez kbs kumove on maskini ya MUngu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…